MTOTOMTAMU
Member
- Jan 13, 2013
- 67
- 5
- Thread starter
- #21
labda unipm na mimi nisikie kwanza huo utamu ulioko kwa mtoto mtamu
Ni PM nikuliwaze mtoto mtamu
Mmh haya ntakuja
labda unipm na mimi nisikie kwanza huo utamu ulioko kwa mtoto mtamu
Ni PM nikuliwaze mtoto mtamu
Songa mbele! Yupo wako ulieandikiwa na Mungu! Usikubali kufanywa second option
Ushajua unatumika
Kaza roho sepa
Jitahidi kujichanganya na watu....uwe mtu wa kutoka na siyo kukaa tu ndani na kujifungia.....na amua sasa....huyo mtu akufai.....afu tafuta zile muvi za kutisha haswa za series....uzifwatilie.....utamsahau tu.....mana inawezekana uko idle ndo mana anakujia sana mawazoni..... na muhimu mpe Mungu nafasi....
MTOTOMTAMU, huenda jinalo ndiyo sababu hasa anapata wasaa mgumu kukuacha!
that aside, AMUA! AMUA! AMUA! ..sasa hivi..
Habari wana jf
Naomben msaada nifanyaje ili niweze kumsahau nirudie maisha ya zamani
1.Mme wa mtu ni sumu,ameshaoa nini unataka kutoka kwake?
2.Amini aliyemuoa alimuona ni bora kuwa mke zaidi yako.....hivyo njia rahisi ya kusahau ni kukubali kuwa huyo hakuwa wako na hatakuwa wako.....Maisha yenyewe mafupi haya usipoteze sekunde kumlilia mtu anayekufanya ulie,Amini unachotamani kwake mtu mmoja kuna watu milioni moja wanaweza kukupa,hakuna haja ya kulazimisha kufungua mlango mmoja ambao umefungwa wakati unamilango kumi na moja iliyowazi kukutoa ndani salama.....Ondoa kila kitu kinachokuweka karibu nae kihisia endelea na maisha yako.....
Pole sana MTOTOMTAMU rudi kazini ila anza zoezi la kutafuta kazi kwa bidii zote hapo kazini kwako hutakuwa na amani tena na wala furaha. Kata mawasiliano na huyo kijana, najua hili si rahisi hasa kama umependa kiasi hicho, lakini inabidi ujitahidi kulifanikisha hili. Hili jina lako mhhhh! Uliambiwa kama weye mtamu au unajua hivyo!?
Habari wana jf
Nimekuwa nikisoma thread za watu na wanavoshauliwa nahisi nami ntashauliwa kuondoa huu mzigo unaonimaliza kila kukucha
Nimependa nisipopendwa
Ni hiv mwaka 2009 nilipata kazi kwenye kampuni fulan huko songea kipind hiko nilikua single
Ndipo nilipoanzisha mahusiano na kijana ambaye nafanya nae kazi na tulidumu kwa mda kidogo na nikiamin nimepata
Na nikatokea kumpenda sana
Mwaka 2011 mwishon akaanza visa Mara ooh Wazaz wangu hawakutaki Mara siwezi kuoa mzanzibari ikabid nianze kufanya upelelez nikaanzia kwenye simu yake nikakuta namba ambayo huwa anawasiliana nayo sana nikaamisha kwenye simu yangu nikampigia
Jibu nililolipata nilitaman kuzimia alinambia ye ni mchumba ake na juz ametoka kumtolea posa
Baada ya siku 2 alikuja nyumban kwangu na kuniwakia sana kwanini nimepiga ile namba bila kumuuliza lkn hatukuachana aliningopea vya kutosha ooh utakuwa mke wa pili tukaendelea
Mwaka2012 hapa tufanyapo kazi kuna utaratibu endapo wafanyakaz mkioana wanawachangia pamoja hapa ndipo nilipoona machungu huyu bwana katangaza anataka kuoa ofisi yote wakajua naolewa Mie kumbe sio(aibu ilioje) maneno chinichini yakaanza watu kunisemasema ooh malaya ndo maana ameachwa (ila ukweli naujua mwenyewe)
Nikashindwa vumilia nikaomba ruhusa ya kwenda kusoma ikakubaliwa mwaka 12 nikaja dar kusoma
Kipind nipo dar akawa ananipigia simu nikamchunia weee ila nikashindwa tukawa tunawasiliana
Tatizo hasa
Nimemaliza kisoma natakiwa kurudi kazin
Sina uwezo wa kuvumilia maneno ya watu nina hasira sana na kuacha kazi siwez .(nimesomeshwa na ofisi)
Pia moyo wangu wangu bado unampenda huyu kijana kila nikijitahid niweze kumsahau siwez
Naomben msaada nifanyaje ili niweze kumsahau nirudie maisha ya zamani
sikia dadaangu usipokua makini utaambulia maradhi tu kwa huyo jamaa coz hana mapenzi na wewe zaidi anatamani tu kukutumia kwa starehe zako.....nakushauri kabla hujaludi kazini mwambie ushapata mchumba thn badili namba za cm na ukifka kazino mpotezee kabisa kama humuoni vile.. ukiendelea kua nae ndivyo utavoendelea kudhaeirika hapo kazini kwenu dadaangu...jaribu hii kitu tuone
jaman pole thana dada MTOTOMTAMU.... ila unatakiwa ukubaliane na hali halisi...jamaa hakuhitaji...cha msingi ukisikia habari zake kwa upole waambie kuwa nimeshaachana nae huyo mtu please cpendi jamani..czani kama wafanya kazi wenzio wata endelea kukusumbua....
Asante kwa ushauri ntaufanyia kazi