Moyo wangu unanidanganya

Moyo wangu unanidanganya

Nalijua hilo la kutakiwa kumtumikia muajiri kwa miaka mitatu baada ya kusomeshwa. Ukipata kazi unaweza kuandaa utaratibu wa kumlipa muajiri wako wa sasa kidogo kidogo hadi umalize deni, wengine pamoja na kutakiwa kufanya kazi miaka mitatu huingia mitini kimya kimya na wengine hujaribu bahati zao za na kuweza kuishawishi management iwaruhusu waondoke. Umeminya kuhusu jina lako, ni aje?

Asante kwa ushauri

Kuhusu kuacha kazi mkataba wangu unabana lazima niitumikie ofisi kwa miaka 3 baada ya kurudi masomon
 
Ushauri wangu wa buree kwako,ACHANA NA HUYO MKAKA…,Fanya kazi kwa bidii bila kujali hayo maneno ya watu wasemayo,wewe busyy na ishu zako,usipokee cm wala usijibu sms zake mpotezeee kabsaaa, utapata mtu wa kweli na mwenye mapenzi ya dhati na wewe,kama fungu lako lipo ni lipo tuu bhana,tena usikose amani kabsa kwa kumfikiria huyo kibwengo mtu,fuata ishu zako,na wewe ni wa thamani pia,dats y ukazaliwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nalijua hilo la kutakiwa kumtumikia muajiri kwa miaka mitatu baada ya kusomeshwa. Ukipata kazi unaweza kuandaa utaratibu wa kumlipa muajiri wako wa sasa kidogo kidogo hadi umalize deni, wengine pamoja na kutakiwa kufanya kazi miaka mitatu huingia mitini kimya kimya na wengine hujaribu bahati zao za na kuweza kuishawishi management iwaruhusu waondoke. Umeminya kuhusu jina lako, ni aje?

Ni ID tu niliyoichagua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ushauri wangu wa buree kwako,ACHANA NA HUYO MKAKA…,Fanya kazi kwa bidii bila kujali hayo maneno ya watu wasemayo,wewe busyy na ishu zako,usipokee cm wala usijibu sms zake mpotezeee kabsaaa, utapata mtu wa kweli na mwenye mapenzi ya dhati na wewe,kama fungu lako lipo ni lipo tuu bhana,tena usikose amani kabsa kwa kumfikiria huyo kibwengo mtu,fuata ishu zako,na wewe ni wa thamani pia,dats y ukazaliwa.

Asantee kwa ushauri
 
Hapa inaonyesha mmekutana watamu wote ila wewe umempendea vyote yeye kapenda utamu wako tuu,
We jitahidi kumwondoa akilini mwako na ublock no yake ili uepuke kuwacliana nae itakusaidia sana na kazini jaribu kumwona wa kawaida na mpotezee kiaina maana kazini wanajua keshaoa wakija kukuona unaendelea nae utawadhihirishia ule usemi wao kua wee ni malaya, na atakua anawaambia wafanyakazi wenzenu kua huna ujanja kwake ndio mana huwezi kumwacha pamoja na yeye kaoa.
Na km kuna mwingine alikua anatamani muachane ili akuchukue yeye atashindwa kufanya hivyo na watu kama hawa wapo wengi wanaopotezea wenzao bahati ya kuoa au kuolewa kwa sababu ni vigumu sana mwanaume mwenye nia ya kweli ya kuoa kumtongoza mwanamke ambae yupo kwenye mahusiano hasa ya mme wa mtu au mwanaume mwenye tabia ya ukicheche.
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu
 
Makubaliano yenu kwa mara ya mwisho si ilikuwa utakuwa mke wa pili? Sasa tatizo liko wapi? Rudi kazini ukafunge na ndoa kabisa
 
siwezi kukushauri kwa sababu unasema bado moyo wako unampenda. na siku zote injini ya mapenzi ni moyo. kazi ni kwako.
 
hvi songea unakaa seedfarm msamala ruhuwiko bombambil mahenge mahenge c jeshin au wap vle umesema
 
1.Mme wa mtu ni sumu,ameshaoa nini unataka kutoka kwake?
2.Amini aliyemuoa alimuona ni bora kuwa mke zaidi yako.....hivyo njia rahisi ya kusahau ni kukubali kuwa huyo hakuwa wako na hatakuwa wako
.....Maisha yenyewe mafupi haya usipoteze sekunde kumlilia mtu anayekufanya ulie,Amini unachotamani kwake mtu mmoja kuna watu milioni moja wanaweza kukupa,hakuna haja ya kulazimisha kufungua mlango mmoja ambao umefungwa wakati unamilango kumi na moja iliyowazi kukutoa ndani salama.....Ondoa kila kitu kinachokuweka karibu nae kihisia endelea na maisha yako.....

like like like x 1000000000
 
mungu ni mwema utamsahau tu ila jitahidi sana kuwa mbali naye. kazini rudi piga kazi. kuwa bize na kazi zako mbona utamsahau tu daaaa nimeumiaje pole sana..
 
Back
Top Bottom