Moyo wangu umewaangukia hawa

Hahahaha! Lizzy na king'asti nina zawadi zenu hapa kwa kunichekesha. Lol.
 
Hallaa! Mi nimemdondokea best maridadi, honestly I wanna have even a little moment with that sweetie sweetie......WAF!!!

Hahahahah. . . utamuweza lakini?Ana mbwembwe huyo!!!
 
Nimefurahi kwa kumpa sifa zake ila tayari anaye... na kukusamehe naweza pia ila ubondia aah no no no mie mtu wa Kung fu... Check na Wengine...
 
Nimefurahi kwa kumpa sifa zake ila tayari anaye... na kukusamehe naweza pia ila ubondia aah no no no mie mtu wa Kung fu... Check na Wengine...

heheh we acha kumtisha mwenzio, nyie wote mmetuma applications tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…