Moyo wangu umewaangukia hawa

ndo ivo kunisalimia tu lazima ule mzinga wa dollar 1000
 
Sasa huyu nae moyo wake kama kitenesi. Unadondokea hapa, unadunda then unadondokea pale. Kazi kweli!
Kitenesi kama hivi wanavouza kwenye maduka ya wachagga au vile wanavyochezea kina Wozniac?.......JUST ASKIN
 
Inasemekana ukiona mwanzo unakuwa mgumu basi ujue mbele panakuwa palaiiini.................NIMESIKIA TU
mkuu huu ni mlima mzito ila itapanda tu
 
mkuu umeingia kwa speed kweli kweli,
angalia kuna vijana wanamiliki vitu humu jf,
kama hujajua utakula ban la kushtukiza hadi ushangae.
 
Endelea kundengua naona vidume vimeishaingia anga zangu vinajifanya sijui avatar zimekuwaje anyways ngoja niendelee kuangalia spidi zao...
speed 120
 
mkuu umeingia kwa speed kweli kweli,
angalia kuna vijana wanamiliki vitu humu jf,
kama hujajua utakula ban la kushtukiza hadi ushangae.
Ila si tunaelewana,kwani mapenzi ugomvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…