Moyo wangu umepata baridi Baada ya Neno hili!

Moyo wangu umepata baridi Baada ya Neno hili!

Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie?? Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!
Na kwa hiyo UKIONA UNACHUKIWA UJUE KUNA MJANJA KACHUKUA/KAKUBALIWA.
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!

Mbona kama kuna ukweli ndani yake?
Ila, Mfa maji haishi kutapatapa.
Nahisi wanaokataa kama wanajifariji vile.
End of the day, Kila mtu ana msimamo,mtazamo na maamuzi yake.
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!

kama moyo umepata baridi nenda ukaote moto au ukaotee jua utapata joto 2
 
Sio lazima iwe hivyo. Je hao wanaoingia kwenye first relationships? Tatizo ulimwengu wa sasa watu wanajua kila umwonae basi ujue yupo kwenye mahusiano. Sawa ni very rarely, but they still there. So hiyo assumption haikubaliki kwa watu wa design hii.
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!
Habari ndio hiyo na wewe ukileta ufara, macho 100 mia na upunguani wako na mkono wa birika au kikombe utaachwa vile vile kwenye trafic lights.
 
mambo ya ufara tena....? napiga chini muda huo huo!
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!

Wakati mwingine Mkuu mambo mengine si ya kuyawaza sana, yanaumiza. Kuna wakati kwa ajili ya mambo kama haya najikuta nashindwa kuwa serious kwenye mapenz
 
Ni kweli kabisa na ukiona umeachwa ujue kuna mjanja kapendwa.
 
Back
Top Bottom