Moyo wangu umepata baridi Baada ya Neno hili!

Binadamu tupo kwaajili ya kuvunjana moyo hasa sisi wenye ngozi nyeusi hawatakawia kukwambia ametembea na flan na flan yaan tu ilimradi mpate taflan remember mapenzi ni ya wawili.
 
Kuna ukweli hapo; labda kwa watoto; lakini kwetu sisi mabwana na mabibi - UKIONA UMEPENDWA UJUE ........... NA KUNA UWEZEKANO WEWE NDO UNAFANYWA ----.
 
Mapenzi mabaya,so,jiepushe nayo>
*bora kupendwa kuliko kupenda*
*bora kutunzwa kuliko kutunza*
*bora kufa kuliko kufiwa*
*bora kumega mke wa mtu mwingine kuliko kumegewa mke wako*
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!
Ivo tunakuwaga kama spare tairi ??
 
Vipi kama wewe ndio umeachwa na yeye ndio ameachwa...''mafala wawili wamekutana'' samahani lakini.. vipi wale walioacha wakikutana wataitwaje wao

Anyway.... HAINIINGII AKILINI MKUU.
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!
 
Bora ungesema Ukiona umependwa ujue wallet yako imejaa.
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!

Ndo manake tena ongezea "demu wako wa sasa ni demu wa mshikaji wa zamani"
 
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie??

Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!

nawe uliyeachwa unayekutana naye nawe ----
 
Na ukiona umeachwa.........ujue kuna mjanja kapendwa.........
 
Na wewe utakuwa ---- badae na kuachwa apendwe Mjajnja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom