Moyo wangu si wachuma, nimsamehe Mara ngapi!

Huyo mtoto pia sio wa kwako.. umebambikiwa...
Wanaume wanaisha kabisakabisa siku hizi
 
Huyo hakufai,achana naye kabisa,anaweza hata akakuua huyo.mwanamke gani asiye na chembe ya ubinadamu? Mtu yeyote mzuri akikosea akasamehewa huogopa sana kurudia makosa. Huyo hana hata aibu.
 
Achana naye,ikiwezekana badilisha sim-card,jipange kimaisha upya..ukiwa sawa fanya utaratibu wa kumchukua mwanao.kama haujipendi mrudie uone.
 
Mkuu......
Huyo mwanamke atakusumbua hata ukirudiana nae cha msingi mchukue mwanao umlee na kumpa malezi bora yanayo stahili kupewa kama haki yake,
Mtunze na umlee vizuri,
Kwa upande wa huyo mwanamke ( amina ) nakushauri achana nae endelea na maisha yako naamini mwenyezi mungu atakupigania na kukuwezesha utafanikiwa,
Usikate tamaa endelea kupambana ili wewe na mwanao muishi vizuri.
Kuhusu huyo mwanamke muache aendelee na maisha yake.
Na usiwe mdhaifu kukubali kusamehe makosa ambayo ni makusudi, lazima uoneshe msimamo wako kama mwanaume rijali na mwanaume anayejitambua kumbuka mwanaume anaonekana kichwa katika familia na kuonekana kama msaada kwa wana jamii ukiwa huna msimamo na kujielewa utayumbishwa na kila mwanamke kwa udhaifu huo.

Muombe mungu akusaidie uendelee vyema na maisha yako na mwanao, huyo mwanamke muache hapo itakuwa salama kwako.

Thanx brother.
 
Mkuu watu wastaarabu, wenye huruma, waaminifu na wenye kushika ahadi huwa wanatendwa na kuumizwa vibaya sana. Wewe sio wa kwanza wapo wenzio kibao wanaokinywa kikombe hicho cha mateso. Sasa kwa hapo mlipofikia sio mahali tena pa kutoa msamaha na huruma. Ngoja tuwe wakweli dini zinatufanya tuwe watu wema lakini wakati flani zinatufanya tuwe wanyonge sana kutusihi tusamehe mara sabini lakini ukweli ni kuwa hata Mungu asie na akili na moyo wa binaadamu nae akikosewa sana anashindwa kuvumilia anatoa adhabu kama ile gharika au alivyo angamiza mji wa Sodoma na Gomora, kama alivyowapa adhabu waisrael ya kuzunguka jangwani miaka arobaini hadi vizazi vyote vya wakaidi waliotoka misri wafe wasiione nchi ya ahadi. Mara ngapi Mungu ametoa adhabu kali baada ya kusamehe na kuonya mara kadhaa? Huyo hakufai atakuangamiza, ni aidha atakuuwa au utauuwa mtu au utajiua au ukisalimika utakuwa chizi au utapata presha na stroke.
 
Pole mno,
Kwanza una moyo wa upendo na huruma na hilo ndo linalokuumiza ndugu.

Amina sio wako huyo achana nae tena muogope kama ukoma, anautumia udhaifu wako wa kumpenda kukuumiza na kuomba msamaha kinafiki, kilichomfanya asiendelee na hilo libwana lililomuacha ni nini kama alimuona wa maana kuliko wewe???
Kosa alishalifanya zaidi ya mara mbili na ukamsamehe saivi anakuumiza tuu hamna lingine na ujue fika hakupendi kabisaa huyo Amina wako.. Muogope kuliko tetemeko
 
huruma inakuponza siku ukipata gonjwa ndo utajua we muache demu asha jua we ni mdhaifu kwakwe so huna haja na uki angalia mambo ya nyuma yani hutakiwi ku msamehe hata kidogo
 
Take note of these;
  1. A woman will never get a permanent divorce with two men; her first lover and the biological father of her baby....! Unless a man himself seriously decides so....! Otherwise, a woman remains week to man's opinions.
  2. Only a fool may trust his/her partner....! And Only GOD won't make mistake, and deserves to be trusted...!
  3. A TRUE LOVE is involuntary, and it is associated with unconditional, and unlimited forgiveness and sacrifices...!
 
Achana nae mazima Kwan bila yeye huwezi Ishi? Achana na utumwa wa Mapenzi. Akhhh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom