Moyo wa kupenda fufuka we mfu.....

Moyo wa kupenda fufuka we mfu.....

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,234
Reaction score
12,811
Shikaooooooni wakubwa na wadogo !!!!!

Nakaa nawaza nini tatzo ??
Sipendi !!! Moyo wa kupenda upo neiiii yani kama ni gari alternator haifanyi kazi so betri inakufa muda wowote tu gari ikienda mwendo flani...
Yani sipendi kwa muda mrefu!!!! Inaweza tokea nikakupenda but it won't take so long moyo unakufa ghafla !! Najiuliza ni kiki mzalendo?? Kiruuuu ngachoka mie...
Mshaurini huyu rafiki yenu.....
Nyie mnapendaje!!!!! Yani natamani yale mahaba niue mahaba we ni wangu kufa kuzikana....
Umri unakimbia speed ya light !!!!!!!!
 
Usijali... Ipo siku utakuja kupenda.. !
 
Kuna tatizo kubwa sana la uandishi jf..sijui ni nini..?
 

Attachments

  • 1398025371939.jpg
    1398025371939.jpg
    23.3 KB · Views: 121

Similar Discussions

Back
Top Bottom