Wilondja dingo
Member
- Jan 22, 2018
- 64
- 63
Wadau habari za saa hizi. Acha niende moja kwa moja kwenye mada
Mwezi wa 12/2018 nilisafiri kwenda Dar nikamaliza wiki 2 nikiwa huko .nilivyo Rudi tu huku kwetu nikakuta kwa jirani yetu kuna binti mrembo Sana ambaye alikuwa Ni mgeni pale, Kama tulivyo mabaharia ikabidi nijisogeze kwa binti kumuambia mawili matatu .
Nilimpa maneno binti akalainika Mambo yakaenda sawa .
Ilinichukua siku 3 nikaomba papuchi nikapewa nikala mzigo .
Baada ya kumaliza kula mzigo ikabidi nianze kumuhuiliza kuhusu background ya maisha yake. Binti alikuwa wazi kuniambia Mambo mengi Sana ya maisha moja ikiwa alizaliwa akiwa peke yake kwenye familia yake baba na Mama yake walifariki kwenye ajali ya gari, alibahatika kuolewa na Sasa Yuko kwenye ndoa miaka 7 ila hajawai kushika ujauzito hivo imesababisha vurugu nyingi saana mpaka imefikia Mme wake amemfukuza ,hivi ameomba hifadhi hapo kwa jirani yangu ila Ana mpango wa kwenda kwa shangazi yake morogoro nimsaidie .Basi nilimuonea huruma Sana . Basi Basi nilimuonea huruma na ikanibidi nimuakikishie kuwa nitamchukua awe mke wangu wa pili na nilimuambia kuwa atatibiwa mpaka atapona .niliendelea kula papuchi Kama kawaida nilikula papuchi tarehe 24, 26,28 na 30 nilikuwa napanga nipige mkesha kwenye sherehe za mwaka mpya mme wake alikuja na ndugu zake wakamchukua na kumrudisha nyumbani niliona Kama masiara aliponiambia kwani nilikua nimeanza kumpenda huyo binti Sana.
Basi maisha yakawa yanaendelea ilipita Kama siku 4 akanitumia messeji kuwa anaumwa na akaniomba nimtumie pesa anunue dawa .nilienda kwa waka nikamtumia 20,000 .ilipofika mwishoni kwenye mwezi wa 1 akaniambi kuwa amepitisha tarehe ya hedhi hivo anahisi kuwa na ujauzito .nilimualika nyumbani ili kuweza kupima nilinunua vipimo viwili ,alipofika tu nilianza shuguli ya kupima na majibu yakawa POSITIVE .Nikajaribu kumshawishi atoke kwa jamaa ili niweze kumchukua akaniambia kuwa atajifikiria ili anipe majibu sahii.
Alipofika nyumbani kwake akanitumia meseji kuwa hayuko tayari kuvunja ndoa yake ila tutakuwa tunawasiliana na maendeleo ya mimba na mtoto akizaliwa atakuwa ananijulisha. Sasa juzi tarehe 02/10/2016 na saa sita mchana akanitumia picha ya mtoto akiambatanisha na ujumbe kuwa amejifungua salama mtoto wakiume. Sasa nikamuhuliza mtoto amepewa mjina gani ,akanijibu kuwa baba yake amempa jina la Prince mateso.nikamuhuliza baba yake Nani ? Aka kaa kimya baadaye akanijibu kuwa japokuwa ile ni damu yangu lakini natakiwa kujifanya kuwa Kama simfahamu yule mtoto.
Sasa wadau nahisi kuchanganyikiwa ukizingatia kuwa huyo ndiye mtoto wangu wa Kwanza kabisa. Leo ndiyo ameruhusiwa kutoka hospital nimemuona akiwa na Mme wake akiwa amembeba mtoto wangu Nilisikia vibaya kupoteza Damu yangu. NAITAJI USHAURI maana nataka kusambaratisha ile NDOA.