Moyo Traders: Wasambazaji wa samaki wabichi Aina ya Kamongo

Moyo Traders: Wasambazaji wa samaki wabichi Aina ya Kamongo

Moyo Traders

Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
6
Reaction score
4
MOYO TRADERS inayojishughulisha na usambazaji wa samaki wabichi ndani na nje ya Dar es Salaam, inasimamiwa na vijana wachapakazi na wanaojari muda wa wateja wao, inapenda kuwataarifu wateja wake ya kwamba huduma imeanza rasmi tangu Tar 1/10/2015.

WALENGWA:
MOYO TRADERS inapokea Oda ya kupeleka Samaki kwa makundi Yafuatayo:
· Mahotelin, Migahawa, Wauzaji wa chips, Wakaangaji samaki,na Majumbani
· Shughuli ya aina yoyote kama harusi, kipaimara na n.k.

UTOAJI WA HUDUMA:
MOYO TRADERS kwa kujari muda wa wateja wake wanachukua jukumu la kukuletea Mzigo wa samaki popote ulipo bila gharama yoyote. Hii ni huduma ya mlango kwa malango.
AINA ZA SAMAKI:

MOYO TRDAERS kwa sasa inasambaza samaki aina ya KAMONGO kama wanavyoonekana katika picha(Tuna malengo ya kutanua shughuli zetu kwa aina zote za samaki kulingana na mahitaji ya wateja wetu).
936070493132552


BEI ZA SAMAKI:
· Box moja la kilo kumi (10Kg) linalokaa samaki kuanzia 50 hadi 55 linauzwa kwa gharama ya Tsh. 45,000/=(Kwa wanaochukua ODA kubwa watapata ofa ya bei)
· Kwa wanaochukua samaki mmoja mmoja bei ni Tsh 1000/= kwa samaki mmoja.

MAWASILIANO:
Wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo: 0682 977 239, 0718 610 620, 0717 320 782
Facebook: www.facebook.com/moyotraders Email: moyotraders@gmail.com
Magomeni - Usalama, Dar es Salaam, Tanzania.
OKOA MUDA WAKO WEKA ODA SASA: KARIBU TUKUHUDUMIE
 
We unawajua kamongo kweli wewe?
Kwani kamongo Mmoja mwenye uzito wa chini ni around 2kgs ingawa kuna kamongo anakuaga na mpaka 40kgs.
Hao ni vibua wa maji chumvi.
 
sasa kwasiye tusiojua samaki nadhani tutataepeliwa na hawa watu wa kaskazi
 
Back
Top Bottom