Moyo nahisi unatoka, nishaurini nipumue

Moyo nahisi unatoka, nishaurini nipumue

keshaondoka ndo unaona umuhimu wake sio?, ila kabla unllikuwa unaona poa tu kuwachanganya!!!! wacha uisome namba tu mpendwa maana hakuna jinsi

Kila siku kwangu alikua na umuhimu sema basi tu
 
We unahisi tatizo nani hapo maana usije omba ushauri wakati tatizo wewe mwenyewe na bado hujalirekebisha

Mimi nishajirekebisha tayari,na mimi nlichepuka kutokana na kumkuta bado anawasiliana na x wake,lakin baada ya kunithibitishia na mm nkaacha
 
Wewe huumii kwa sababu uliyempenda kakuacha. Unaumia kwa vile umetaka vyote na umekosa vyote. Huwezi kuwa unampenda mwenzio kwa dhati halafu ukawa unachepuka kirahisi hivyo

Ndugu yangu mi nlichepuka baada ya kuona anawasiliana na x wake,kibinadam iman ikayumba,ila baada ya kunithibitishia ikabid niuache mchepuko,na siku namkatalia simu hakukua na tatzo ila basi tu
 
Nimebaki nimeduwaaa na huo mtandao wa ngono,


Haya pole ndugu, cha kufanya
Peleka barua ya posa kwao kama kweli upo serious nae.

(Surprise her)
 
Back
Top Bottom