Moyo nahisi unatoka, nishaurini nipumue

Moyo nahisi unatoka, nishaurini nipumue

Kinacho musikhus ni mazoea huyo hukuzaliwa nae family moja mkaushie tu afu pili jiamini
 
Wote ni majambazi sio tu wezi. Mmepewa karama hiyo na shetani, Mungu atakupa wa kufanana nawe na ndo huyo, jitahidi mfunge ndoa nyie waasherati mtapendana sana, alafu kila mtu awe anasoma sms sa mwenzie na mfanye majumuisho ili mpate bingwa wa kuchepuka....jinga wewe watu wako bize unaleta story za kihingaaa

Aisee umenifurahisha jioni ya leo
 
Ha ha ha haaa, umenivumnja mbavu zangu aise
Wote ni majambazi sio tu wezi. Mmepewa karama hiyo na shetani, Mungu atakupa wa kufanana nawe na ndo huyo, jitahidi mfunge ndoa nyie waasherati mtapendana sana, alafu kila mtu awe anasoma sms sa mwenzie na mfanye majumuisho ili mpate bingwa wa kuchepuka....jinga wewe watu wako bize unaleta story za kihingaaa
 
Uachwe tu aisee...

Tafuta mwingine....uacge moyo wa huyo dada upumue
 
Huyo jamaa na thread yake sijui tumshauri nini, in fact huo ndio mshahara wa dhambi, hiyo roho acha itoke tu
 
We unahisi tatizo nani hapo maana usije omba ushauri wakati tatizo wewe mwenyewe na bado hujalirekebisha
 
Wote ni majambazi sio tu wezi. Mmepewa karama hiyo na shetani, Mungu atakupa wa kufanana nawe na ndo huyo, jitahidi mfunge ndoa nyie waasherati mtapendana sana, alafu kila mtu awe anasoma sms sa mwenzie na mfanye majumuisho ili mpate bingwa wa kuchepuka....jinga wewe watu wako bize unaleta story za kihingaaa

Isee nimecheka mpaka machozi,
 
Njia pekee nyie mtafanikiwa kuishi pamoja ni kama mtakubaliana kuwa kila mtu ana uhuru wa kuchepukaz....alafu dunia ya sasa mwanamke ana ma ex 7 wewe nae 7 kwa nini watu wasichepuke
 
Wote ni majambazi sio tu wezi. Mmepewa karama hiyo na shetani, Mungu atakupa wa kufanana nawe na ndo huyo, jitahidi mfunge ndoa nyie waasherati mtapendana sana, alafu kila mtu awe anasoma sms sa mwenzie na mfanye majumuisho ili mpate bingwa wa kuchepuka....jinga wewe watu wako bize unaleta story za kihingaaa

umekomeshaa mkuu
 
Ndio maana Nimeamua kuwa mwenyewe maana nafurahia Uhuru ambao nipo nao kwasasa ingawa ninapokumbuka huwa naumia sana
 
Let it go ukiyakumbuka yatakuumiza ukiyafikiria hutoyamaliza
 
Wewe huumii kwa sababu uliyempenda kakuacha. Unaumia kwa vile umetaka vyote na umekosa vyote. Huwezi kuwa unampenda mwenzio kwa dhati halafu ukawa unachepuka kirahisi hivyo
 
Wote ni majambazi sio tu wezi. Mmepewa karama hiyo na shetani, Mungu atakupa wa kufanana nawe na ndo huyo, jitahidi mfunge ndoa nyie waasherati mtapendana sana, alafu kila mtu awe anasoma sms sa mwenzie na mfanye majumuisho ili mpate bingwa wa kuchepuka....jinga wewe watu wako bize unaleta story za kihingaaa

Ndugu mbona wewe unajifanya malaika,wewe hujawah kuchepuka kwan
 
Pole mkuu,najua unachokifeel..imefanana kidogo na story yangu lakini jikaze ujaribu kuongea nae

Incase akizingua jitahidi umove on..Ni vigumu lakini kwenye nia utaweza na utakuwa mwenye furaha tena

Asante sana ,nmeumia sana ndugu yangu cz mchepuko tayari nilishauacha na sikujua hata kwanini nmemkatalia simu.yan bora ningekua nmechepuka kweli
 
Nipe namba yake nikuombee msamaha ila utalipia huduma za ushauri nasaha (consultancy fee) nayo itakuwa 2.4% na utailipa kupitia bank ya stanbic...ahahahahaaha...fanya haraka niko bize wateja ni wengi ujuwe.

Duh,nkupe no yake tena
 
Wewe ulikuwa huna sababu ya kumkatalia kusoma sms ila
yeye alikuwa na sababu ya kuisoma hiyo sms

Na icho ndio kinachoniumiza,af sms yenyew ni ya tigo
 
Back
Top Bottom