Moyo Mpweke Wahitaji Marafiki JF

Nurayah

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
33
Reaction score
7
Habari zenu waungwana.
Nimekuwa karibu na JF kwa muda mrefu kama Guest na sasa nimeona ni muda wa kuwa mwanajamii humu.
Pamoja na kupata Elimu na taarifa juu ya mambo mbalimbali, nahitaji marafiki wa kuniondolea upweke.
Natumaini nitakaribishwa vizuri.
 
Nurayah! pamoja! karibu! usisahau kunitwangia kwenye line yangu ya MTN.
 
Namba zako za simu zko wapi mkuu?
 
Karibu sana Nurayah,
here is stress free zone! So jisikie upo kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…