Moyo mpweke huu jamani, si utani

Moyo mpweke huu jamani, si utani

Niliomba mchumba humu,nikatoa sifa zangu,kuwa ni mwalimu private school,nahitaj mchumba mwaminifu,aliye na kazi yoyote toka arusha tukifahamiana twende kwa wazazi na tufunge ndoa,aliye tayari na kupima ,ajitokeze tu kwa kunipm.

Maana mpaka sasa cjapata majib yoyote!

Mpaka akae arusha??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom