niliomba mchumba humu,nikatoa sifa zangu,kuwa ni mwl prvate xkulz,nahitaj mchumba mwaminifu,aliye na kaz yoyote toka arusha tukifahamiana twende kwa wazazi na tufunge ndoa,aliye tayar na kupima taf ajitokeze tu kwa kunipm.Maana mpaka sasa cjapata majib yyte!
yule mwanafunzi aliechora ZOMBI ktk booklet ya NECTA, utakuwa wewe ndiye uliemfundisha! utampataje mwenza namna hii wakati namna yako ya uandishi inaonyesha bado hazijatimia sawa sawa, humu wanajua hazikutoshi, bahati mbaya JF imejaa wa timamu watupu!
Kaka jitahidi basi kuandika vizuri
mtu akiandika xul, xaxa honestly sijui huwa namuonaje
niliomba mchumba humu,nikatoa sifa zangu,kuwa ni mwl prvate xkulz,nahitaj mchumba mwaminifu,aliye na kaz yoyote toka arusha tukifahamiana twende kwa wazazi na tufunge ndoa,aliye tayar na kupima taf ajitokeze tu kwa kunipm.Maana mpaka sasa cjapata majib yyte!
Kaka jitahidi basi kuandika vizuri
mtu akiandika xul, xaxa honestly sijui huwa namuonaje
Nauza kibodi inayoweza kuandika maneno kama hayo...
niliomba mchumba humu,nikatoa sifa zangu,kuwa ni mwl prvate xkulz,nahitaj mchumba mwaminifu,aliye na kaz yoyote toka arusha tukifahamiana twende kwa wazazi na tufunge ndoa,aliye tayar na kupima taf ajitokeze tu kwa kunipm.Maana mpaka sasa cjapata majib yyte!
wewe ni mwalimu wa nini?