Nafurahi kusikia hivyo sista! Ishi uonavyo wewe, I was just trolling with you, coz hata interest na music wa vijana sina.Endelea kushangaa hivyo hivyo mdogo wangu ukikuwa nawe utayaona japo hutayaona kama yangu maana mie ni Kasie nawe ni Eli, kuchagua ni kuishi mwaya namshukuru maulana kila siku ipitayo tabasamu halikauki usoni mwangu. 🙂
Na iwe hivyo kama uonavyo..... Amen!!
uliniona?Unavyojipiga punyeto.
Umesahau ulichokiandika hapo awali?kwanini usitulie ukasettle? si bora upige tu punyeto kama mimi kuliko kujidanganya moyo kila siku unapendapenda na kugegedwa ovyo?
uliniona?
Wakati ni huu sasa hakuna wakati mwengine tena.Aaamen!! ngoja wakati ufike
View attachment 430960
Kwakweli wakati ni sasa maana hatuijui kesho na jana ni historia,cheers
pole sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeumia sana baada ya kusoma hii story. huku kupenda wazee kimya kimya kutakuja kuniuwa siku moja
dah we mzee unanifurahishaga sanaHahahahahhahaaa looh wacha nikuimbie basi...
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosa
(Acha waseme) Nimekupendea nini
(Moyo mashine)
Ila majibu ya upendo ulishakosaga
(Wacha waseme) Nimekupendea nini.
Ahsante Mkuu. nisaidie kuongea n a huyu bibi anielewepole sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]