Huyu mmama nahisi atakuwa na nyota ya Mbwa jike kama ilivyo kwa Sepetunga.kwanini usitulie ukasettle? si bora upige tu punyeto kama mimi kuliko kujidanganya moyo kila siku unapendapenda na kugegedwa ovyo?
Pole sana😀Aiseeh mpe pole sana...
Historia yake (Sam) siijui ndio maana roho imeniuma jana kunimegemea bibi kizee wangu.
Tatizo langu sijawahi kusema huwa nasemea moyoni sasa leo uvumilivu umenishinda imebidi nioneshe masikitiko yangu ni kiasi gani moyo wangu umemia.
Wazee wa sikuhizi mnamambo! mzee anakuimbia hadi moyo mashine ha ha ha balaa la karne!Ikirudie kwa heshima zote na taa washa.
Jamanii naomba nichukue nafasi hii kukuomba radhi mbele ya hadhira ja JF kwa kukuumiza moyo na kukuletea sononeko moyoni.
Pia nashukuru kwa kuniweka moyonini wako ma kunieleza yaliyoujaa moyo wako mbele ya hadharani hii.....
Nisamehe bure babaa kwa kuumiza moyo..
Wewe ni jasiri,ni adimu sana mwanamke kukiri hadharani namna hii!kwanini usitulie ukasettle? si bora upige tu punyeto kama mimi kuliko kujidanganya moyo kila siku unapendapenda na kugegedwa ovyo?
Wewe ni jasiri,ni adimu sana mwanamke kukiri hadharani namna hii!
mmama gani mimi au kasinde?Huyu mmama nahisi atakuwa na nyota ya Mbwa jike kama ilivyo kwa Sepetunga.
kukiri nini?Wewe ni jasiri,ni adimu sana mwanamke kukiri hadharani namna hii!
Nitaipokea pole yako kwa moyo mkunjufu kama nitahakikishiwa mbele ya hadhira hii ya JF kuwa sitakuja kuumizwa tena.
Na mbele ya hadhira hii nipewe nafasi ya kukidhi haja ya moyo wangu. niruhusiwe kuanzia sasa kusema Kasie wa wambeke na kasie nae ajibu bee wambeke wa mimi.
hapo moyo wangu utakuwa na fraha isiyo kifani
Unavyojipiga punyeto.kukiri nini?
Haya kaa mkao wa kula tende na halua. ... ila utamu ukizidi usitoe sauti kubwa watatuvamia heheh
Kiapo cha maandishi ni kifungo, siku nyingi huwa natamani JF pangekuwa na option ya kuchangia kwa sauti ambapo ningeweza fanya hivo ili kuonesha msisitizo wa kiapo ila haya maandishi huwa yana rejea. ....
Sijui lini watazindua uchaguzi huo wa kuchangia uzi kwa sauti badala ya kuandika....
Kabisa aiseNifah usimdanganye mwenzio
Hua naitafuta chance ya kuonana na wewe ili nikuchambe vizuri ..i dont usually like that word kuchamba but specifically for you yes i will.do that so i can bring sense into.your headkukiri nini?
...hivi forties anaweza kuimba 'moyo mashine'...teh teh! Kasie we noma sana
Na iwe hivyo kama uonavyo..... Amen!!utaishi maisha marefu coz it seems you really care less!!