isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
Watu hatuna uhuru,kila gemu tunapigwa tu..!aaaghh...! Hatuwezi kuongea lolote hata mbele ya vibonde wa ligi maana wanaweza kutufunga ! Huyu jama anatupeleka ilipokuwa timu yake,aondoke tu hafai bhana. Naenda kulala..!!??
DUH inanishangaza sana kusikia kutoka kwa fans wa MAN U.Inaonesha ni jins gan sio wavumilivu.Hebu fuatilia fans wa liverpool ambayo zaid ya miaka 20 haijabeba PREMEAR Arsenal zaid ya miaka 8 hawajabeba kombe lolote pia liverpool misimu mi4 haijashirik UCL Bado masgabiki wake wanaiunga mkono.Mapema mno kumhukumu MOYES cha mhm n kusubir msim uishe.lkn kumbuka MOYES alpewa uangaliz wa miaka 2 kwenye mkataba wake endapo atafanya vbaya ndan ya miaka miwili ndipo atafukuzwa.AMA KWEL MTENDA AKITENDWA ANAUNIA SANA.
Hili ndo tatizo la wapenzi wengi wa mpira. Hii timu yao ingekuwa inashinda usingesikia wanampiga madongo Moyes, kama unavyoona Arsenal walikuwa wanataka Wenger afukuzwe miezi saba au nane iliyopita sasa hivi wametuliza. Subiri Arsenal tufungwe(God forbid) mechi 2 au 3 utawasikia wanavyotoka mafichoni. Badala ya kusupport timu na vision za kocha wanataka afukuzwe. Atakayekuja itakuwa hayo hayo.
Huu ushauri wako huu .........
Ushauri mzuri nyie mnataka muwe kama Chelsea, Madrid au Spurs kila siku mnafukuzafukuza. Jifunzeni kwa Arsenal na Liverpool. Anyway, Moyes akiendelea kuwepo patakuwa na stability katika ligi.
Kuzunguka kwako kote nilikuwa ninajua nini lengo lenu lol
Mambo yakiendelea hivi wale wapenzi bendera fuata upepo utawaona watakavyojichanganya na City. Afu naona watu wanamlaumu Fergie peke yake, David Gill naye alaumiwe sababu ile influence ndani ya FA/Premier League imekufa.
Mnae huyo Moyes for the next several years. Nothing ever stay the same! Ni miaka ya maumivu tu, wenzenu Liverpool weshazoea manake nap walikuwa wakishinda vikombe vyote kama mali yao miaka hiyoo na kwa sasa weshajizoelea. Zamu yenu. Usiwe na wasiwasi mtazoea tu. Kama Gooners kabati ni tupu toka 2006 na wameshazoea kwa nini nyie msizoee?Watu hatuna uhuru,kila gemu tunapigwa tu..!aaaghh...! Hatuwezi kuongea lolote hata mbele ya vibonde wa ligi maana wanaweza kutufunga ! Huyu jama anatupeleka ilipokuwa timu yake,aondoke tu hafai bhana. Naenda kulala..!!??
yeah i guess so but watu wotw hawajasema ni wewe tu so it means wote kasoro wewe wana hangover ya last year!mkuu bado una hang over ya mwaka jana..
Hili ndo tatizo la wapenzi wengi wa mpira. Hii timu yao ingekuwa inashinda usingesikia wanampiga madongo Moyes, kama unavyoona Arsenal walikuwa wanataka Wenger afukuzwe miezi saba au nane iliyopita sasa hivi wametuliza. Subiri Arsenal tufungwe(God forbid) mechi 2 au 3 utawasikia wanavyotoka mafichoni. Badala ya kusupport timu na vision za kocha wanataka afukuzwe. Atakayekuja itakuwa hayo hayo.
msipaki basi pakini tren kabisa si mnatujua lakini? tarehe 1st march 2013! mnabidi mje kabisa mmejifukiza udi ili msi- ruin our dating! sorry usijiue coz we still need you guyz!
ititoke hivyo mshahara wangu wa mwezi nautuma fasta kwako bila hata kusita!...tunaahidi kuwashangaza mkuu,lazima tuwastukize kwa 2 - 0....!
Kwa nyongeza masgabiki wa man u sio wazalendo na tim yao wahame il wakwepe matuc kutoka kwa wapinzan wao YNWA
....daahhh ukweli mchungu mkuu,yaani huyu jamaa tumeingia chaka baya sana...!!???Mnae huyo Moyes for the next several years. Nothing ever stay the same! Ni miaka ya maumivu tu, wenzenu Liverpool weshazoea manake nap walikuwa wakishinda vikombe vyote kama mali yao miaka hiyoo na kwa sasa weshajizoelea. Zamu yenu. Usiwe na wasiwasi mtazoea tu. Kama Gooners kabati ni tupu toka 2006 na wameshazoea kwa nini nyie msizoee?
Pellegrini atawatesa sana hadi muiuze timu