Movies To See Before You Die……………

Up 2009

UP-2009-Front-Cover-1146.jpg

By tying thousands of balloon to his home, 78-year-old Carl Fredricksen sets out to fulfill his lifelong dream to see the wilds of South America. Right after lifting off, however, he learns he isn't alone on his journey, since Russell, a wilderness explorer 70 years his junior, has inadvertently become a stowaway on the trip.

Cast:
Edward Asner
Jordan Nagai
John Ratzenberger

How To Train Your Dragon 2010

How+to+train+your+dragon.jpg

A hepless young Viking who aspires to hunt dragons becomes the unlikely friend of a young dragon himself, and learns there may be more to the creatures than he assumed.

Cast:
Jay Baruchel
Gerard Butler
Christopher Mintz-Plasse
 
Wanajamii,

naombeni msaada wa kupata link ya kuweza kuangalia movies online...! Kuna movies zimependekezwa hapa ningependa kuziona but online...! Asanteni...!
 
Of all the movies ambazo nimeangalia na sichoki kuangali ni hii ya "Time to Kill" ya Samuel Jackson...! Hii muvi tamu sana mno.

Pia movies za mzee mzima Morgan Freeman, huyu mzee sijawahi kuona movie mbaya kutoka kwake kwa kweli...! He is incredible...!
 
Bila kusahau nyingine kama

Saving Private Ryan - Tom Hanks
Perfect Storm- George Clooney
Towering Inferno- Ya miaka ya 70s -Paul Newman
Cleopatra Jones-Tamara Dopson
Cleopatra Jones and Casino of Gold- Tamara
UNTOUCHABLES- Kalvin Costner
Where Eagles Dare-Clint Eastwood
100 Rifles- Jim Brown
Summertime Killer- Chris Mitchum
Master Samurai- Chris Mitchum

Na za Kichina Je? Mnazikumbuka hizi
Blood Fist- Cheng Xing
Enter the Dragon- Bruce Lee
Tough Guy- Cheng Xing
King Boxer- Meng Fei
Prodigal Boxer- Mengfei
New Onearmed Swordsman
Golden Tiger
Black belt Jones- Jim Kellky
 
Na when it comes to directors kuna huyu Alfred Hitchcock (the master of suspense) Kama ile North by Northwest

Wachowski brothers kwenye The Matrix walianzisha kitu ambacho kilikuwa hakipo before.... yaani idea ilikuwa Original .... Now thats what I call Creativity
 
Of all the movies ambazo nimeangalia na sichoki kuangali ni hii ya "Time to Kill" ya Samuel Jackson...! Hii muvi tamu sana mno.

Hii movie mwanzo wake ni kitabu kilichotungwa na John Grisham which goes by the same name. Kitabu kizuri mno.
 
Hii movie mwanzo wake ni kitabu kilichotungwa na John Grisham which goes by the same name. Kitabu kizuri mno.

I have read a lot of John Grisham Novels..... Jamaa when it comes to legal thrillers jamaa ni mwisho; mfano the Associate; The Client (kuna movie yake) Pelican Brief (kuna movie Denzel Washington); The Firm (kuna movie yake actor Tom Cruise)...

Ila it comes to my second point hakuna movie ambayo ni nzuri kuliko novel ila kuna exceptions mbili (God Father - Mario Puzzo) na (James Bond Movies ni Nzuri kuliko vitabu vya Ian Fleming)
 
Huyu John Grisham ni Lawyer by profession, ndio maana story zake nyingi ni za legal cases
 
Vitabu vya John Grisham ni vingi na vingi sana vimetengeenzwa movie.

Mie na prefer vitabu kiliko movie lakini you are right God father movie nzuri kuliko kitabu. Hata some classical novels kama Pride and Prejudice kaa movie nzuri kuliko kitabu hivi.

I have read a lot of John Grisham Novels..... Jamaa when it comes to legal thrillers jamaa ni mwisho; mfano the Associate; The Client (kuna movie yake) Pelican Brief (kuna movie Denzel Washington); The Firm (kuna movie yake actor Tom Cruise)...

Ila it comes to my second point hakuna movie ambayo ni nzuri kuliko novel ila kuna exceptions mbili (God Father - Mario Puzzo) na (James Bond Movies ni Nzuri kuliko vitabu vya Ian Fleming)
 
Dah yaani kuna legends of gangster movies kama De niro na Al pacino wakifuatiwa na Ray rolita na De vito.Pia kuna movies kama
Finding nemo,My cousin vinny (so funny De vito on what he do best),American violet,Law abiding citizen,.............
Ntarejea
 
Movie za siku hizi sio exciting sana kama za nyuma. Kuna aliyewahi kuangalia The Shindler's List? Hakuna mtu aliyeitaja hapa. Ni movie ya masaa matatu na ni black and white. One of the best ever made movies. Kuhusu American Gangster, vipi kama Samuel Jackson ndie angekuwepo badala ya Washington? Ila Washington polayed real well kwenye The Training Day. Other good movies include A Brox Tale, Alien, Pulp Fiction, Citizen Caine, The Shawshank Redemption bila kusahau one of my favourates, The Goodfellas. Hey na vipi Star Wars Episode V?
 
Back
Top Bottom