Movies based on true story

Tyta, hii movie huwa naishia kusimuliwa tu,hebu ngoja niitafute niangalie

ukitaka uinjoy hii movie..anza kusoma kitabu chake(novel) of the same name...my best novel-movie of all time..
 
hii uandae tissues za kutosha maana kuna scenes utamwaga michozi kama maji. Smith na mwanae walicheza vizuri sana.

super emotional...soo touchy....''my best will smith movie''..
 
Kabisa Mkuu...Mie siku niliyoenda kuiona ilikuwa imefurika halafu mwisho audience waliwapa standing ovation ya kama dakika tatu hivi. Kuna wakati nilizungusha macho theatre yote kuona kama kuna mtu aliyekuwa hatoi machozi nikaona wote wako busy kufuta machozi dah!!!!

super emotional...soo touchy....''my best will smith movie''..
 
Usiikose hii, "The wolf of wall street" Leonardo DiCaprio alicheza zuri sana ila ni ndefu, masaa matatu.
Ulivyosema masaa matatu nimechoka tayari duh ninayo itabidi nifikirie time table ya muda au siku ambayo kukaa kutizama sisumbuliwi wala simsumbui mtu. Leonardo Dicaprio jamaa namsifu Hana majivuno wala sifa nje ya game ni ma Actor wachache wa hivi kina Denzel Dicaprio husikii balaaaaaa zao nje Sema DiCaprio ingekuwa sio movie angekuwa jamaa mmoja tu mtaani tumbo na Beer yake Di Caprio movie ndio zinmfanya Kuwa na umbo la GyM unajuwa Holywood utaambiwa sasa kondo mkuu au sasa tanuka au sasa Kuwa bonge ukiitizama Hali ya hivi ki kawaida ngumu ila Wenzetu Hollywood rahisi na hizi True story wanapewa kuishi na watu waliopitia ili wa feel mazoea. movie nyengine SKIN ya Msouth Africa anaitwa Sandra Ling hii movie msikose mkitizame rudini kunieleza mmeona je SKIN ya Sandra Ling Huyu Mama kazaliwa Black wazazi wake White South African so alipata tabu sana maishani mwake. Hii ni True Story bila chumvi.
 
Reactions: BAK
john Q ya Denzel Washington usipolia wewe msibani huwa mgumu hata wa karibu mtu wako.
 
Wala usichoke maana ni bomba sana, wala hutastuka kama umekata 3 hours. Tafuta popcorn za kutosha uingalie kwa raha zako. Utaifurahia sana.

 
Black Hawk Down.....enzi za Farah Aideed
Green Zone........yanayoendelea Iraq sasa na hao jamaa wa ISIS chanzo chake kiko hapa i.e. dismantling of the army and other security services
 
lawrence of arabia ni ya 1961 lakini.
the travel of marcopolo
alexander
troy
the monument men 2014
300
the great debatorsl
lincoln 2012
schindlers list
sarafina
captain philip
black hawk down
 

Hii Movie iliniliza aisee "Stoning of Soraya" aiseeee.... Hasa kile kipande cha kupigwa mawe live!
 

mississipi masala
not without my daughter
escape from alcatraz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…