Engineer Petii
Member
- May 21, 2023
- 77
- 74
Tafuteni Movie Moja Inaitwa FAR FROM HOME ni Wanigeria walioigiza. Yaani Movie imefanana na zile Movie za Kimarekani Kabisa asilimia 100 mpaka wamewazidi, sijui hapa kwetu tunafeli wapi.
Wametuacha kimziki, basi tungekaza kwenye movie lakini kila kukicha sanaa yetu imekua inafanya vitu ambavyo wenzetu walivifanya muda sana!
Nimpongeze dada yangu Lamatah Leah na niendelee kumtia Moyo huenda siku moja ataifikisha Sanaa yetu sehemu sahihi nasi tujivunie!
Hata kama hatutafika kama Wamarekani lakini basi tuwe na mtindo wetu wa Movie za Love Story, za Maisha tuu. Lakini ziwe na uwekezaji wa kutosha.
Cha kumalizia kaangalieni Series ya FAR FROM HOME ya Nigeria mtaelewa nachomaanisha [emoji562][emoji562][emoji562]