Movie za Kihindi

Movie za Kihindi

Wahindi movie za actions hapana kwakweli. Tena ukimkuta Ajay Devgan jamaa muongo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani nachokaga sana, anapigwa ngumi au teke mpaka anaenda kuvunja ukuta anatokea upande wa pili...Jamani..ngumi gani ya hivi??
Akipigwa risasi sterring hafi. Ila jambazi ata risasi ya mguu kafa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Stering hata apigwe risasi mia hafi lkn jambazi akipigwa teke tu kafa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi movie za hawa gabachori ni kiboko, sijui wanajisikiaje wanavyotuigizia hivi maana eti mtu anarusha gari na mkono mmoja anaponda helkopta,,,yaan ni hivi kuna jamaa anapigana sasa inakuja helkopta inataka kumkata na yale mapanga,mara anakuja jamaa anaendesha kwa kasi vibaya kisha anasimama na kuirusha gari kuelekea kule kwenye helkopta ili isimkate jamaa yake,hapa nimecheka aiseee
Sehemu nyingine ni jamaa anapigana na watu wengii peke yake bila msaada yaan watu laki huko eti anapigana na kuwaua wote hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] wahindi mbona mnatufanyia hivi ,hata kama bongo movie wameshindwa kuigiza msitufanyie hivi tunawaomba
Ebu toa kituko ulichokiona kwenye movie yoyote yenye chai iliyopitiliza
Sio wahindi tu hata wachina na hollywood wanafanya hii sema wao wanaifanya vizuri na camera tricks na cgi za ukweli kuliko wahindi.
Yani za wahindi zinachekesha sana siwezi hata vumulia kutazama.
In fact siku hizi nachukia movie za super heroes naona za kitoto sijui superman sijui spiderman sijui ironman
 
Back
Top Bottom