mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 186
Katika thread ya yangu ya karibuni niliandika ATHARI ZA MUUNGANO WA UPINZANI WAANZA KUONEKANA ZANZIBAR, na pia nikawanukuu baadhi ya watu waliosema watafanya kila hali kuhakikisha muungano wa CDM, CUF n NCCR wanauvunja kabla ya kuleta athari kwa chama tawala.
Moja kati ya mbinu watakayoitumia ni kurejesha mbinu ya ''WAGAWE UWATAWALE'' DIVIDE AND RULE POLICY. Na kitu cha mwisho kinachoonekana kinaweza kutumika ni suala la DINI. Hivyo basi inatakiwa viongozi na wafuasi wa upinzani kuwa makini na mbinu zozote za kuwagawa kiitikadi ya dini.
kuwepo kwa muungano wa upinzani ni hatari kwa uhai wa ccm, udumisheni.
Movie nyengine kama ya mtwara itafanyika DAR AU ZENJ. Sijui sasa STARRING/STAR atakuwa nani?
WAKATABAHU....