Movie ya kuusambaratisha muungano wa upinzani yaanzia Mtwara

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Katika thread ya yangu ya karibuni niliandika ATHARI ZA MUUNGANO WA UPINZANI WAANZA KUONEKANA ZANZIBAR, na pia nikawanukuu baadhi ya watu waliosema watafanya kila hali kuhakikisha muungano wa CDM, CUF n NCCR wanauvunja kabla ya kuleta athari kwa chama tawala.

Moja kati ya mbinu watakayoitumia ni kurejesha mbinu ya ''WAGAWE UWATAWALE'' DIVIDE AND RULE POLICY. Na kitu cha mwisho kinachoonekana kinaweza kutumika ni suala la DINI. Hivyo basi inatakiwa viongozi na wafuasi wa upinzani kuwa makini na mbinu zozote za kuwagawa kiitikadi ya dini.

kuwepo kwa muungano wa upinzani ni hatari kwa uhai wa ccm, udumisheni.

Movie nyengine kama ya mtwara itafanyika DAR AU ZENJ. Sijui sasa STARRING/STAR atakuwa nani?

WAKATABAHU....
 
movie nyingine ni ya loliondo iliyotufanya tusiongelee mgao wa umeme. watanzania tunageuzwa punguani nasisi tunakubali
 
Mkuu,

Ni vizuri kuibua mbinu hizi mapema. Watawara waliochoka hawajari tena mstakabali wa taifa. Hukipitia thread ya jana ya vijana 11.....Mtwara utagundua nia ya watawara hawa.
 
Katika thread ya yangu ya karibuni niliandika ATHARI ZA MUUNGANO WA UPINZANI WAANZA KUONEKANA ZANZIBAR, na pia nikawanukuu baadhi ya watu waliosema watafanya kila hali kuhakikisha muungano wa CDM, CUF n NCCR wanauvunja kabla ya kuleta athari kwa chama tawala.

Moja kati ya mbinu watakayoitumia ni kurejesha mbinu ya ''WAGAWE UWATAWALE'' DIVIDE AND RULE POLICY. Na kitu cha mwisho kinachoonekana kinaweza kutumika ni suala la DINI. Hivyo basi inatakiwa viongozi na wafuasi wa upinzani kuwa makini na mbinu zozote za kuwagawa kiitikadi ya dini.

kuwepo kwa muungano wa upinzani ni hatari kwa uhai wa ccm, udumisheni.

Movie nyengine kama ya mtwara itafanyika DAR AU ZENJ. Sijui sasa STARRING/STAR atakuwa nani?

WAKATABAHU....

WEWE unastahili hili jina "SAMANTHA LEWTHWAITE"
 
Mkuu,

Ni vizuri kuibua mbinu hizi mapema. Watawara waliochoka hawajari tena mstakabali wa taifa. Hukipitia thread ya jana ya vijana 11.....Mtwara utagundua nia ya watawara hawa.

Ulimaanisha nini? WATAWALA au WANAMTWARA?
 
Katika thread ya yangu ya karibuni niliandika ATHARI ZA MUUNGANO WA UPINZANI WAANZA KUONEKANA ZANZIBAR, na pia nikawanukuu baadhi ya watu waliosema watafanya kila hali kuhakikisha muungano wa CDM, CUF n NCCR wanauvunja kabla ya kuleta athari kwa chama tawala.

Moja kati ya mbinu watakayoitumia ni kurejesha mbinu ya ''WAGAWE UWATAWALE'' DIVIDE AND RULE POLICY. Na kitu cha mwisho kinachoonekana kinaweza kutumika ni suala la DINI. Hivyo basi inatakiwa viongozi na wafuasi wa upinzani kuwa makini na mbinu zozote za kuwagawa kiitikadi ya dini.

kuwepo kwa muungano wa upinzani ni hatari kwa uhai wa ccm, udumisheni.

Movie nyengine kama ya mtwara itafanyika DAR AU ZENJ. Sijui sasa STARRING/STAR atakuwa nani?

WAKATABAHU....

Una maana wale vijana waliokamatwa Mtwara ni muungano wa wapinzani?
 
inawezekana movie ya mtwara imetengenezwa ili kuihusisha na kauli ya lipumba aliyoitoa pale jangwani juzi.
 
Serikali haitaki kufanya kazi tena, wameamua kula na kusubiri muda wa kufa ufike.
Hiki ki-movie atakuwa katengenezewa Lipumba. More to come. . . .
 
Unajua mie nimejiuliza sana kuhusu hawa vijana, ila police mara zote huwa wanatengeneza movie halafu mwisho wa cku wanaumbuka. Mfn ni yule mkenya wa dr. Ulimboka kumbe walitengeneza wenyewe. Na hiyo ya mtwara wanaweza kuwa wametumwa na lipumba ila nackitika kwn police wanaweza kuita vyombo vya habari na kuwalazimisha wale vijana wa
 
Mara zote njia ya muongo huwa ni fupi sana, police wanasema hawa vijana wamekamatwa na
1. Mapanga 2
2. Visu 2
3. Tochi 1
4. Solar pannel
5. DVD deck
6. CD za mafunzo ya kigaidi 25
Kwa akili za kawaida hivi unaweza kuangalia CD kwa kutumia deck pekee, na kwa nini ni kutoka kijiji kimoja?
 
Nadhani wewe ni miongoni mwa wanaofikiri kwa kutumia ma------
 
Mara zote njia ya muongo huwa ni fupi sana, police wanasema hawa vijana wamekamatwa na
1. Mapanga 2
2. Visu 2
3. Tochi 1
4. Solar pannel
5. DVD deck
6. CD za mafunzo ya kigaidi 25
Kwa akili za kawaida hivi unaweza kuangalia CD kwa kutumia deck pekee, na kwa nini ni kutoka kijiji kimoja?

Mkuu umenivunja mbavu!! Police wenyewe form IV failure, leo wanataka kutudanganya Watanzania kama ile Movie ya Dr. Ulimboka na Mkenya producer akiwa Kova.

Najua hii yote ni katika kutaka kumu-link Prof. Lipumba na kauli yake ya Jangwani kuwa VIJANA ANZENI kufanya mazoezi.

Hawa wachoma mkaa watasota bure rumande kama yule Kijana muendesha bodaboda wa Olasiti Arusha aliyesingiziwa kuwa ndiye aliyerusha bomu kanisani.
 
Hii inaonesha kauli ya Mchungaji Peter Msigwa aliyotoa Bungeni (Akili ndogo kutawala akili kubwa).
Leo kwenye magazeti polisi anaonesha CD lakini hizo silaha wanazotaja na za kuwinda kwale maana hata Tembo akitokea wangekimbia.
Serikali imeanza kudhalilika mchana kweupe kwa kupanga mipango ya kijinga sana kulaghai umma wa WATANZANIA.
Magaidi hawakuoneshwa, mapambano hayakuwepo kati ya polisi na magaidi! Magaidi gani wanaotumia zana za kulimia Mapanga 2, Visu 2, Tochi 1, Solar pannel, DVD deck, CD za mafunzo ya kigaidi 25. Hawana TV SET.
Serikali yetu sikivu na intelijensia acheni usanii.
 
kila kukicha sababu za kuiondoa ccm madarakani zinaongezeka...
 
Serikali haitaki kufanya kazi tena, wameamua kula na kusubiri muda wa kufa ufike.
Hiki ki-movie atakuwa katengenezewa Lipumba. More to come. . . .

Ndiyo maana Zelote ametoa wito kwamba wanaofadhili hiki kikundi wajisalimishe polisi. Ukamate kikundi cha kigaidi and then uombe wafadhili wake wajitokeze wenyewe badala ya kuwakamata? Usanii mtupu wa jeshi la polisi.
 
Back
Top Bottom