Movie 🍿 ya After life

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,167
25,477
Kama hujaicheki itafute kisa chake kina husu mdada mmoja hivi ambae alikuwa akizinguana na mumewe na kupelekea kupata msongo wa mawazo sana na pia bi dada alikuwa ni mwalimu wa chekechea sasa siku moja anakutana na mumewe kwenye mgahawa ili waombane radhi mkewe akakataa sasa siku anarudi nyumbani si akapata ajali mbaya ambayo ilipelekea kufa kuzinduka akajikuta yupo mochwari akamuuliza jamaa ambae alikuwa ndio doctor kule mochwari mbona mie sijafa hapa ni wapi jamaa akamwambia wewe umekufa na hapa ni mochwari umekufa masaa machache yaliyopita akaendeleea kukataaa mpaka alivyo oneshwa cheti cha kifo aliendelea kukataa je nini kilifata mbeleni itafute mtu wangu
original_5K0vkmCcozpWXJry3oxMrQGRSZk.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom