donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Simu mkuu..... ndio bwana niki naughurumia maumivu ya ile hammer ya thor... hizi weapons za kutoka azgard sijui wana weka nini
, aisee kwa subtitles my fav ni subscene.com, movies huwa nashusha kwenye mp4mania, kama hapa niko namcheck ethan hunt anovyohangaika na nuclear cores kwenye fallout
Yeah sema ukiwa na mxplayer itapendeza sana unadownload moja kwa moja subtitleKwaio muv nachukua mp4mania alf subtitles kweny subscene
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
. Unaona kama hapo kitu cha skyscraperKwaio muv nachukua mp4mania alf subtitles kweny subscene
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Jamaa ni both, anatumia crew na anaeza ku betray crew yake.So uwa ni adui mostly huwa yupo upande upi hapo DC i mean crew au linajitegemea..
Yeah mkuu, hapo kimenukaApo moto una waka
Watu wanaogopa kujulikana id zao mkuu, ni wazo zuri lakini.Wazee kwann tusianzishe kikundi cha WhatsApp, kwa ajili ya mambo kama aya, na tukawa pamoja sana, hii sort ya entertainment itufanye kuwa wakaribu.
Watu wanaogopa kujulikana id zao mkuu, ni wazo zuri lakini.
Nineona trailer lake ila design kama sijaielewa flan hivo, naona haina tofauti na jaws au Ile ya hale berry sijui inaitwaje vileJason statham, iki kiumbe kinakuja na movie moja ambayo bado naisubiria kwa hamu, movie ina husu papa mkubwa kuwai kutokea ulimwenguni, The MeG.
Jamaa this time ajaja na racing issues kaja na kitu cha Ocean
Website imekua shutdown io mpk itakapo rudi. Uu ujinga nowadayz watokea mno kuna app 1 iv inaitwa terrarium ilkua very gud kwny kuachia links z new movies imepgwa chn nayo So vumilia tu mkuuWakuu nini kimetokea hapa katika hii site??au wamarekani wamefanya yao https://directseries.net/
Nimeidaunloo, ngoja nikimaliza kucheck hotel transylvania 3: summer vacation. By the way nkionaga ratings za rotten tomatoes na imdb ziko chini, nakosa morali yakushusha kituDesign ya Jaws ofcoz but hiki kitu kipo more renovated, it's like its real, kwasababu Shark aliewekwa mule ni shark ambae ni kubwa kuliko sharks wa movie zote ulizoziona zinazohusu sharks, more interesting, shark Ka bite bullet proof mirror, na kuacha marks za meno.
Despite movie ipo na rates za wastan rotten tomatoes but, ipo extremely interesting