Na ndio uhalisiaHuenda labda reality ndo iko hivyo, ila ukiview reality kwa mtindo huo si inakuwa kama ni timeloop
Nakubaliana na wewe,Watazamaji wa kawaida wanataka spectacle, mashabiki wa kweli wapo invested in the story.
Sijaangalia supergirl, ila Superman ilikuwa filamu bora kwangu 2025. Superman is a symbol of hope! He's a friendly guy. Na ndivyo alivyokuwa kwenye ile filamu.
Ndio nilipacheki hapo, interstellar inafanya black hole zionekane ni vitu vizuri kwenda kutembelea,Na ndio uhalisia
Time essentially ina exist on all past, present and future.. At once.
Si uliona walivyo fika kule kwenye black hole.. Au ile sayari ambapo saa moja ni miaka 22 duniani?
Popoma jrlinitazame mimi pekee
Big bang pia ni man made conceptionNdio nilipacheki hapo, interstellar inafanya black hole zionekane ni vitu vizuri kwenda kutembelea,
Kuna idea moja huwa ninayo kwamba huenda big bang tulisabisha sisi wenyewe yani future human ndio walisabisha tukio la big bang na dunia kuanza ili waje wa set off big bang, kama ilivyo kwenye interstellar kama cooper alivyoenda kwenye tessaract ili asababishe yeye aende kwenye ile safari aingie kwenye black hole
Au kama series ya Dark kama ushaicheki wanamsemo wao unasema "the end is the begining and the begining is the end" huo msemo ndio ulisabisha nianze kuwaza huenda hata big banga iilkuwa hivyo
Labda, unahisi wanasayansi walikuja na hyo idea na wao kujaribu ku make sense ya creation ya ulimwenguBig bang pia ni man made conception
Huyu jamaa ndo anataka awe kundi la PlatinumπππΏ
Maana yangu haikuwa hiyo mkuu ila nilicho kuwa nategemea kuona kulingana na trailer sio nilicho kiona mule ndani yani expectation zangu zilikuwa kubw kulingana na teasershule shule shule, tujitahidi kuwapeleka watoto wetu shule angalau wapate elimu wasiwe kama sisi wazazi, subtitles nazo hukuzielewa?
Mbona banned tenaπππΏHuyu jamaa ndo anataka awe kundi la Platinum
Hahaa!! Huenda ni mwana kulitafuta, mwana kulipataMbona banned tenaπππΏ