Movie 🎦 night πŸŒƒ

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,020
Reaction score
19,919
Kwanza kabisa nitoe pole kwa kulifanya hili jukwaa lote linitazame mimi pekee kwa siku za hivi karibuni... Binafsi Itabidi mnizoee tu ninapenda sana kuwa the center of attention..

Narudi katika mode ya kawaida sasa baada ya kui feed ego yangu.

Leo Nitakuwa ni kiangalia movie ya spiderman brand new day.


Nimekuwa nikiifatilia series yake toka ile ya kwanza kabisa... Ya mwaka 2000.

Kwa hakika ni movie nzuri sana kama mfuatiliaji..

Kinacho niweka sana kwenye hii movie ni ile bond ya Peter Parker na Marry jane


Na last time illishia pale Parker alipo fanya time-lapse akarudisha mind za watu wote wa sahau asijulikane including MJ... Na ilimuumiza sana.

Sasa sijui Ilikuaje kwenye hili toleo...

Am so excited to watch this tonight..

Je, unapenda hii movie? Msije mkanipa uhondo wote.. I wanna experience this piece of art..
 
Kuna mada ya muvi za marvels humu walio uanzisha wamesha ukimbia.

Marvels nawakubali kwenye aina za muvi kama the punisher
Wewe hufatilii vizuri mkuu..

Japo kuna yule jamaa wa aloe tengeneza Dune na odessy yuko makini sana..

Ila bado marvel ni studios bora kabisa duniani na wanapiga hela ndefu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…