Movie kali ya kivita

Movie kali ya kivita

Saving private Ryan jamaa walitulia wakafanya kitu.

Jumapili nilikuwa naangalia hii ”The Siege of Jadotville” nayo ni nzuri sana.
hii nayo ni nzuri sana
inaonesha namna mission nyingi zinavyofail pia namna viongoz wengi wa batterlian wanavyopata shida mbalimbali hasa inapoonekana kama mission imefail
 
the wall
mine
the pacific
the hurt locker
the fury
beast of no nation
beast of war
lone survivor
hacksaw ridge
the outpost
enemy at the gates
jarhead
hotel rwanda
eye in the sky
saving private ryan


pitia hapooo hutojutia .
hivyo ni vigongo haswaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom