Movie kali ya kivita

Movie kali ya kivita

Enzi hizo War Bus ilikua inakimbiza na Msela kipensi 🤪 Msela kipensi misosi yake ilikua panzi, nyoka, panya, chura, nyungunyungu mpaka kenge 🤪View attachment 2822555

Ukiondoa Platoon
View attachment 2822557

Tafuta movie inaitwa Saving Private RyanView attachment 2822558

Hii movie km una ROHO ndogo usiangalie wanapigwa watu misumali humo

Kuna movie nyingine ya kivita nimeisahau ile ni vyuma na misumali tu mwanzo mpaka Mwisho hakuna kupunzika
Yes mkuu hiyo WAR BUS,binafsi ndio top movie ya kivita, du umenikumbusha mbali sana, ndani ya EMPIRE CINEMA, ukumbi wa cinema super, ohoooo mkata ticket pale Modi,guy wa Narung'ombe street, kariakoo!!!

Ukiondoa Platoon
View attachment 2822557

Tafuta movie inaitwa Saving Private RyanView attachment 2822558

Hii movie km una ROHO ndogo usiangalie
[/QUOTE]
 
Saving private Ryan jamaa walitulia wakafanya kitu.

Jumapili nilikuwa naangalia hii ”The Siege of Jadotville” nayo ni nzuri sana.
Tangu 2017 siangalii Sana movie,naomba orodha ya movies Kali za mtindo wa fury, private Ryan,salt,Jason Bourne..za mtindo huo,usiniwekee za mazombie
 
Mkurugenzi tafuta movie ya mad max uone mishe mishe za kivita hiyo bado sana yani achana na hiyo muvi kabisa
 
Mkurugenzi tafuta movie ya mad max uone mishe mishe za kivita hiyo bado sana yani achana na hiyo muvi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom