inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Kitambo Sana mzee,1991/2,simkumbukiUnamkumbuka yule BIG 😆😆😆
Kitambo Sana mzee,1991/2,simkumbukiUnamkumbuka yule BIG 😆😆😆
I beg your pardon!Hii ndio movie kali ya kivita ya muda woteView attachment 2819292
I second this statement.Ila hii ni upande wa series: Series yangu bora kabisa ya kivita ni BAND OF BROTHERS.
Rate: 9.4/10 IMDb.
Nikizitaja kwa uchache tafuta hizi American Sniper (2014),Captain Phillips (2013),Shooter (2007) na A Bridge Too Far (1977).ninazo nyingi kwenye computer ila sipo mazingira ya home nikirudi next week nitaweka hapa mbili tatu.Tangu 2017 siangalii Sana movie,naomba orodha ya movies Kali za mtindo wa fury, private Ryan,salt,Jason Bourne..za mtindo huo,usiniwekee za mazombie
Hii kama mpenzi wa movie za amsha amsha mtazamaji anaboreka.Escape from Sobibo 🤪
2017 kurudi nyuma hakuna movie Kali ilinipita,nataka za 2017 kuendeleaNikizitaja kwa uchache tafuta hizi American Sniper (2014),Captain Phillips (2013),Shooter (2007) na A Bridge Too Far (1977).ninazo nyingi kwenye computer ila sipo mazingira ya home nikirudi next week nitaweka hapa mbili tatu.
Hiyo ya mwisho 1977 ni ya zamani ila ni kali sana haielezeki,kuongezea kama unapenda pia crime movies itafute hii The Town 2010 hutajutia muda wako wa kuiangalia.
Hebu ijaribu na ya babu Sisu ingawa muongi muongo naeTangu 2017 siangalii Sana movie,naomba orodha ya movies Kali za mtindo wa fury, private Ryan,salt,Jason Bourne..za mtindo huo,usiniwekee za mazombie
Mkuu inaitwaje hiyo movie?Hii movie naipenda kishenzi Sasa kuna movie moja inafanana na hii wanapigana na wavet wamejificha kwenye mapango mlimani alafu jamaa wanawafuata huko huko humo ni balaa mvua inanyesha tope tupu kupanda mlima ni kasheshe sasa hio misumali inavyotembezwa hakuna kupoa mda wote zinatembea![]()
All Quiet in the Western Front (2022) sio hii lakini yenyewe inaitwa Casualties of War (1989) itafute hio uone misumali humo km sijakosea lakiniMkuu inaitwaje hiyo movie?
Wanayopigana Vita kwenye tope naulizia ?All Quiet in the Western Front (2022) sio hii lakini
Jina nimesahau nabahatisha tu hio movie ya kwenye tope ni ya wavet wapo mlimani jamaa wapo chini kwa hio kule juu mlimani wameset mashine gun kuna angle km 3 hivi jamaa wanazimimina tu kupiga kila wakitaka kupanda juu, walikua wanagombea eneo kwa hio wamarekani walikua wanataka kuchukua hilo eneo wakapachike bendera yao sasa kupanda huo mlima wa tope wanapigwa misumali mpaka Mwishoni kabisa ndio wanawaweza Ila wanakufa kibao kwenye kuupanda huo mlima wa tope 🤪Wanayopigana Vita kwenye tope naulizia ?
Bila jina au mtu alieshiriki kujua, itakua ngumu kuipataJina nimesahau nabahatisha tu hio movie ya kwenye tope ni ya wavet wapo mlimani jamaa wapo chini kwa hio kule juu mlimani wameset mashine gun kuna angle km 3 hivi jamaa wanazimimina tu kupiga kila wakitaka kupanda juu, walikua wanagombea eneo kwa hio wamarekani walikua wanataka kuchukua hilo eneo wakapachike bendera yao sasa kupanda huo mlima wa tope wanapigwa misumali mpaka Mwishoni kabisa ndio wanawaweza Ila wanakufa kibao kwenye kuupanda huo mlima wa tope![]()
Achana na utopolo kaangalie operation red sea ,Kuna ambush na snipers .




Ipo underrated ila ni moto balaa yaani ambush ya maana.
Wachina walichezea chuma za waethiopia![]()
Inaitwa We Were Soldiers (2002)Bila jina au mtu alieshiriki kujua, itakua ngumu kuipata