Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

The Game of Love
Made in Bongo
Hihihihihiiiiiiiiiiiiii!!!! kuna kile kijamaa kiJeff kinajisifia et ni kihandsome lol!!!!
 
Safe heaven
Six days seven nights
A moment to remembr (korea)
Only you (korean)
The classic (korean) yaan hii movie sijawai ona mfano
 
Wahindi ndio wenye wenye story movies kali za mapenzi...zifuatazo ni ni baadhi tu ya movies ambazo u must watch before u die...(mentioned randomly)
1.Dilwale dulhania le jayenge ...
2.Mera Mann ...
3.Humko tumse pyaar hai....
4.Mohabbatein
5.Dil tu pagal
6.Kabhi alvida na kehna
7.Rab de badi Jodi
8.Jab tak hai Jaan
9.Aashqui 2
10.Jism
11.Fida
12.Ghulam
13.Sirf Tum
14.khabi alvida na kehna
15.Dil hai tumhara

Hizo ni baadhi tu...siwez kuzimaliza kuzitaja kila moja ina utamu na upekee wake...
Bollywood movies,Hakika anajitahidi sana tena sana katika love story.

Katika orodha yako jaribu kuweka na actor's wake.
 
Wahindi ndio wenye wenye story movies kali za mapenzi...zifuatazo ni ni baadhi tu ya movies ambazo u must watch before u die...(mentioned randomly)
1.Dilwale dulhania le jayenge ...
2.Mera Mann ...
3.Humko tumse pyaar hai....
4.Mohabbatein
5.Dil tu pagal
6.Kabhi alvida na kehna
7.Rab de badi Jodi
8.Jab tak hai Jaan
9.Aashqui 2
10.Jism
11.Fida
12.Ghulam
13.Sirf Tum
14.khabi alvida na kehna
15.Dil hai tumhara

Hizo ni baadhi tu...siwez kuzimaliza kuzitaja kila moja ina utamu na upekee wake...
Filamu za Bollywood nimepata kuzitazama nyingi sana.
Hiki kizazi Ndio kilitikisa Soko la ulimwengu,
-Shurkh Khan.
-Salman Khan.
-Akshey Kumar.
-Ajey devgan.
-Sunnil Shetty.
-Bobby Deol.
-Sann Deol.
-Aamir Khan.
-Na wengine wengi

Japo kuna wakongwe wengi kama akina Bachan,Govinda,Roha,Mitthun waliotikisa sana.kwa saizi kizazi hiki cha kina Ajay devgan kinazeeka.
 
Back
Top Bottom