Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

am in love with a church girl
love doesn't cost a thing
mingine mwenye kujua movie za black america kama hizi ni quote nizitafute
 
Indecent Proposal... wacha kabisa hii makitu.
Mkuu siku hizi hizi movie ni kama hazipo maana vijana wanapenda sana series za ki-Korea...

Wanaziita "season" siku hizi,kazi kweli kweli.....

Zinaharibu maisha ya hawa madogo balaa,sijui shida ni nini aisee...
 
Kuna movie moja amecheza Wesley Snipes na dadammoja hivi black,niliionaga miaka ya mwanzoni kabisa ya 2000 huko sijui inaitwaje....

Ni bonge moja la movie aisee.....
 
Mkuu siku hizi hizi movie ni kama hazipo maana vijana wanapenda sana series za ki-Korea...

Wanaziita "season" siku hizi,kazi kweli kweli.....

Zinaharibu maisha ya hawa madogo balaa,sijui shida ni nini aisee...
Kwakweli... haya maseriea mi hata siyaelewi...

Ulishaangalia movie inaitwa Basic Insticts?? Not without my daughter?? Savior?? Kama bado zitafute mkuu... ni noma
 
Kwakweli... haya maseriea mi hata siyaelewi...

Ulishaangalia movie inaitwa Basic Insticts?? Not without my daughter?? Savior?? Kama bado zitafute mkuu... ni noma
Basic Insticts nishaiona ila hizo nyingine nitazitafuta mkuu....

Acha waangalie hayo ma-season yao mkuu maana sisi hatuyawezi....

Nilikuwa nimekuwa mpenzi mkubwa sana wa series lakini zilipoanza kuja hizi sijui "Udaa" nikashindwa kuangalia kabisa labda niangalie zile za kufanana na ninazotaka maana ni chache sana siku hizi.....
 
Basic Insticts nishaiona ila hizo nyingine nitazitafuta mkuu....

Acha waangalie hayo ma-season yao mkuu maana sisi hatuyawezi....

Nilikuwa nimekuwa mpenzi mkubwa sana wa series lakini zilipoanza kuja hizi sijui "Udaa" nikashindwa kuangalia kabisa labda niangalie zile za kufan
ana na ninazotaka maana ni chache
sana siku hizi.....

Mkuu umekoswa na mimi.... njoo basi tujiselfie hata kwenye daraja jipya. .
 
Mkuu umekoswa na mimi.... njoo basi tujiselfie hata kwenye daraja jipya. .
Hahahahaaaaa....

Unajivinjari ndani ya jiji siyo?

Kama utaendelea kuwepo ndani ya siku tatu au mbili hizi kuna mzigo nitaufuata town nitakutafuta tujiselfie kwa ukumbusho mkuu.....
 
Back
Top Bottom