otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 148
- 263
Ni movie gani ulishawahi kuiangalia zaidi ya mara mbili na bado unatamani kuiangalia tena??!!
The. Woman kingNi movie gani ulishawahi kuiangalia zaidi ya mara mbili na bado unatamani kuiangalia tena??!!
Hii movie huwa naipita pita naona kama haina mzuka ngoja Leo niipakue...... Binafs "We Were soldiers" , Black hawk Down , 13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi, hack saw ridge ni baadhi ya movie nzoziangalia mara mbilimbili , sema Kwa vile mi ni mpenz wa movie za kivita tena zenye true storyThe. Woman king
Hiyo movie ni ya hovyo kihistoria na ina agenda ya wakoloni. Lengo lake ni kuu ni kuproove kuwa Waafrika walihusika pakubwa kueneza biashara ya utumwa kwa hivyo wasilaumiwe wazungu pekee yao. Ni wapi Afrika kulikuwa na wanajeshi wanawake ?The. Woman king