Never have I watched the Movie..... What's it about (in brief and your own words if you don't mind);
Nisingependa kumwaga mtama hapa..kwani JF ni jukwaa kubwa lenye mitazamo mingi... Ningependa watu hasa wanaume waangalie na kutafakari na kujibu maswali yao wenyewe...
At glance:
Binafsi nimeipenda hiyo movie kwani inajibu maswali yenye kuhusu..
Ni hayo machache kwa sasa...
- Kujijua wewe kama Mwanamme na sehemu yako kwenye familia..
- Ushirikiano na Mapenzi ya kweli kwenye familia hasa wakati wa dhiki..
- Je' akiondoka yule unayempenda ndiyo mwisho wa furaha? na kuchanganyikiwa au ni blessing ya kujijua ulifanya makosa gani?
- Je' commitment ya marriage sometime inapitwa na wakati? Au labda kweli wanaume tunaitaji Resolution..tena mbele ya publlic ya kuwa tutajitoa muhanga kwa familia zetu...
- Lakini Resolution hizo hata kama zikiwa mbele ya public ni bure kama Hutashindwa kupambana na challenges zake..
On your list add this movie as well CRAZY STUPID LOVEKwa mktadha huo it has to be a Great movie, na sasa rasmi it is on my "to watch List" Thank you.
On your list add this movie as well CRAZY STUPID LOVE
kila mwanaume anatakiwa kutazama movie hii.......
1........................
- The God Father - About Family... About Live.... About dirty Politics.... About Women and Men. About Life.
- Escape From Sobibor - Nationality and Absolute leadership.
- Invictus - The power of Sports and how its unique language cuts accross race all over the world.
- Hangover 1&2 - Some times it's good to live your life at the moment, regardless your responsibilities.
- The other bohemian girl - The power of Women in politics and how they could change History forever.
- Vantage point - Life and events have several sides of the story, both a bit accurate.... Be very wise before making decisions....
- John Q?
the godfather is the sum of all wisdom .........
Ntafanya hivyo
Naona umetaja "John Q" Kweli wampenda the Boss because of Denzel.....lolz
Hio inaonesha the way a Great Man is supposed to Be. Family comes first No matter What! You fight hata kama you are fighting the Government....
Unaniwekea maneno mdomoni mweeh
Nakuja kukusuta na matarumbeta
Na pilau nshapika
Ngoja nimtafure King'ati