Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,360
- 68,449
hata kama ni uwongo sawa lakini kuna ambazo zimezidi chumvi mkuuFilamu zote ni uongo
Jini anavua viatu akitaka kuingia ndani kwa mtuBongo muvi zmepitiliza uongo na uhalisia ni ziro yaani sifuri
Hiyo muvi ni jipuMATRIX !!
uwongo wa kutosha mkuu au?Kuna movie inaitwa dhoom 3, angalia iyo
We acha tu jamaa yuko vizuri, lakini ya kihindiuwongo wa kutosha mkuu au?
kama ni ya kihindi siangaliiWe acha tu jamaa yuko vizuri, lakini ya kihindi
Avengers zote, Spectra siyo nzuri kama Skyfall.Kuna movie nacheki hapa ni zaidi ya uwongo yaani hata mtoto mdogo humdanganyi hivi.
Tujuzane movie zenye uwongo ulioptiliza kama si kutukuka.
1.Mission Impossible 4 na 5
2.Spectre ya James Bond
karibu uendelee na wewe...
Dahhh hizi kweli zimezidi uongo.Transformer
Ni kweli kiongozi Spectre wameikuza sana lakni imeniboa mnoAvengers zote, Spectra siyo nzuri kama Skyfall.