Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,230
- 10,096
Me mwnyw nlijua jamaa yule black atafight nashangaa kafa kiboooyaa ila muv ya kawaida tuanyway movie ni nzuri kuangalia, wamejitahidi ubunifu ni wa kawaida can't compare to part 1 yake au movie kama bird box.
Djimon(black man mwishoni) anakufa simple sana, inshort sipendi uzembe wa vile kwenye movie yoyote ile.
part 1 and IIZipo ngapi? Google naona ya kwanza 2018 ya pili April 2020
Part 2 humu nimeona mnasema imetoka July mwaka huu.. Google inasema imetoka April 2020.part 1 and II
initial release yake ilikua 2020 kwa mji wa New Yorko tuPart 2 humu nimeona mnasema imetoka July mwaka huu.. Google inasema imetoka April 2020.
So ni ipiView attachment 1876221
Okay..naitafutainitial release yake ilikua 2020 kwa mji wa New Yorko tu
worldwide release imekua mwaka huu i guess may 2021.
ni hiyo hiyo missyrose
Ipi the begining au final unaweza jina la movie alafu weka srt kama movie ni 720p au 1080p mfano rurion kenshin the begining srt 720pRuroun kenshin Inazingua ku-add subtitle af me ki-Japan siwezi. Unanisaidiaje mtoa mada.
Natumia latest VLC player.
The final.Ipi the begining au final unaweza jina la movie alafu weka srt kama movie ni 720p au 1080p mfano rurion kenshin the begining srt 720p
Nilipata hamu kubwa ya kuitazama movie ya The Lion King, kuja kudownload nakutana na wanyama. Niliishia dakika moja sikuendelea. Filamu za Animation na hizo za madude hayo ya kutengeneza, siwezi angalia.Ndio movie za sasa hizo zinobamba mkuu. Pamoja na animation.
Google sometimes hua waongo waongo walivyonidanganya RDJ atakua kwenye Black Widow sina hamu naoPart 2 humu nimeona mnasema imetoka July mwaka huu.. Google inasema imetoka April 2020.
So ni ipiView attachment 1876221
Imebuma mzee. Extension files haziingiliani af movie ni kaliii kinoma. Itabidi nianze kujifunza kiJapan then nirudi angalia.Ipi the begining au final unaweza jina la movie alafu weka srt kama movie ni 720p au 1080p mfano rurion kenshin the begining srt 720p
Kudadek nenda netnaija movie kule mzee search hiyo movie alafu chukua srt yake hii movie kali sijawah ona mwamba mkimya ila anagonga km sio yeye batosaiImebuma mzee. Extension files haziingiliani af movie ni kaliii kinoma. Itabidi nianze kujifunza kiJapan then nirudi angalia.
Fresh mkuu. Nitakujuza soon.Kudadek nenda netnaija movie kule mzee search hiyo movie alafu chukua srt yake hii movie kali sijawah ona mwamba mkimya ila anagonga km sio yeye batosai
Nyengine huwa na story nzuri sana. Tena nyingi zao zina story nzuri haswaNilipata hamu kubwa ya kuitazama movie ya The Lion King, kuja kudownload nakutana na wanyama. Niliishia dakika moja sikuendelea. Filamu za Animation na hizo za madude hayo ya kutengeneza, siwezi angalia.
Google sometimes hua waongo waongo walivyonidanganya RDJ atakua kwenye Black Widow sina hamu nao