Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

anyway movie ni nzuri kuangalia, wamejitahidi ubunifu ni wa kawaida can't compare to part 1 yake au movie kama bird box.
Djimon(black man mwishoni) anakufa simple sana, inshort sipendi uzembe wa vile kwenye movie yoyote ile.
Me mwnyw nlijua jamaa yule black atafight nashangaa kafa kiboooyaa ila muv ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hala! hala!.. Nimezitenga kabisa for this week, ole wako nikute sio nzuri.
IMG_20210801_133439_356.jpg
 
Ruroun kenshin Inazingua ku-add subtitle af me ki-Japan siwezi. Unanisaidiaje mtoa mada.
Natumia latest VLC player.
 
Ruroun kenshin Inazingua ku-add subtitle af me ki-Japan siwezi. Unanisaidiaje mtoa mada.
Natumia latest VLC player.
Ipi the begining au final unaweza jina la movie alafu weka srt kama movie ni 720p au 1080p mfano rurion kenshin the begining srt 720p
 
Ipi the begining au final unaweza jina la movie alafu weka srt kama movie ni 720p au 1080p mfano rurion kenshin the begining srt 720p
The final.
Movie Ipo na extension file (.ts) af subtitle (.srt) lakini Inazingua.

Let me search for .ts subtitle nione kama nitaipata.
 
Ipi the begining au final unaweza jina la movie alafu weka srt kama movie ni 720p au 1080p mfano rurion kenshin the begining srt 720p
Imebuma mzee. Extension files haziingiliani af movie ni kaliii kinoma. Itabidi nianze kujifunza kiJapan then nirudi angalia.
 
Imebuma mzee. Extension files haziingiliani af movie ni kaliii kinoma. Itabidi nianze kujifunza kiJapan then nirudi angalia.
Kudadek nenda netnaija movie kule mzee search hiyo movie alafu chukua srt yake hii movie kali sijawah ona mwamba mkimya ila anagonga km sio yeye batosai
 
Nilipata hamu kubwa ya kuitazama movie ya The Lion King, kuja kudownload nakutana na wanyama. Niliishia dakika moja sikuendelea. Filamu za Animation na hizo za madude hayo ya kutengeneza, siwezi angalia.
Nyengine huwa na story nzuri sana. Tena nyingi zao zina story nzuri haswa
 
Walete ya tatu Sasa bonge la story inafundusha namna Gani ya kusarvive kwenye mazingira yetu ikitokea vitu vya hatari!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom