Mdoe Snr
Senior Member
- Mar 5, 2014
- 115
- 30
jana ilikua siku mbaya sana kwa mashabiki wote wa Liverpool baada ya kupoteza mechi dhidi ya Chelsea.
Kuna mambo mawili tu binafsi hayajanipendeza.
1.Kupoteza muda bila sababu.Tangu mpira unaanza Chelsea walitumia mbinu hii sijui hasa nia hasa ilikua nini.
2.Kucheza defensive game bila sababu. Tumezoea mbinu hii ya 16th century ikitumiwa na Mou wakati akicheza mtoano kama ambavyo atafanya j5 hii,Sasa kulikua na sababu gani yakufanya hinyo kwenye League?
SO OLDISH STYLE!!!