Mmary The Scout
Member
- Jul 19, 2015
- 61
- 4
Habari Wakuu.Naomba Kujuzwa Kama Mmu Washatoa Hata Batch Moja Ya Majina Ya Undegraduate
Mount Meru Mwanza center ndo nimeyaona mkuu ila main campus nahs pia yatakuwepo.Habari Wakuu.Naomba Kujuzwa Kama Mmu Washatoa Hata Batch Moja Ya Majina Ya Undegraduate
Mount Meru Mwanza center ndo nimeyaona mkuu ila main campus nahs pia yatakuwepo.
Kati ya vyuo vibaya tz basi Ni mount meru,majengo yake hayarizishi kama kambi ya magereza
Habari Wakuu.Naomba Kujuzwa Kama Mmu Washatoa Hata Batch Moja Ya Majina Ya Undegraduate
Ume apply kozi gani pale mkuu?
BBA(a/c & Finance)
BBA(marketing)
Umeyaona Wapi Mkuu Mbona Kwenye Website Ya Chuo Hakuna?
Nimeongea na register wa MMU Mwanza ndo akanambia kwa Mwanza majina washayapata sa sikumuuliza kuhusiana na main campus ila ka ulichagua mwanza center nigei jina lako nimuulize then ntakujibu.