Motra The Future ( My Crown )

Motra The Future ( My Crown )

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
Hii diss-track aisee ambayo motra ameitoa like seven days ago ni noma sana according to my ears, Mex Cortez needs a serious comeback. Hajamuacha mtu salama humo hadi kina Freddy Mullah, Conboi etc. Wametajwa.

Hii inanikumbusha few year ago, pale Big Sean alivyotoa ngoma ya Control ( Ft. Kendrick Lamar & Jay Electronica ), verse ya Kendrick kwenye ile ngoma ilisimamisha dunia ya hip-hop kwa masaa kadhaa (unaweza Google ukasearch Kendrick Lamar control verse reaction twitter ) . All in all, angalau game inachangamka ilipoa sana kwa trend ya sasa ya mziki uliopo

MY CROWN nayo nimeiongeza kwenye list yangu baada ya kuisikiliza sasa hivi aisee ni mdundo,dogo ana flow flani unique wenye sikio la muziki nadhani wanajua namaanisha nini
 
Amini bro japo kuna baadhi ya watu hawamuelewi
 
Hii diss-track aisee ambayo motra ameitoa like seven days ago ni noma sana according to my ears, Mex Cortez needs a serious comeback. Hajamuacha mtu salama humo hadi kina Freddy Mullah, Conboi etc. Wametajwa.

Hii inanikumbusha few year ago, pale Big Sean alivyotoa ngoma ya Control ( Ft. Kendrick Lamar & Jay Electronica ), verse ya Kendrick kwenye ile ngoma ilisimamisha dunia ya hip-hop kwa masaa kadhaa (unaweza Google ukasearch Kendrick Lamar control verse reaction twitter ) . All in all, angalau game inachangamka ilipoa sana kwa trend ya sasa ya mziki uliopo

View attachment 3404616
Mbona nyepesi sana kama mbana pua.
 
Back
Top Bottom