Duh! Unamshauri alipe fee ambayo mwisho wake ni June hii!!! Kwanza Afande Mpinga alishasema Traffic kazi yao sio kukamata expired Road Licence kwani tayari fine utakutana nayo siku ya kulipa. Komaa tuu, kwani tax amnesty imeshatolewa na waziri wa fedha.Ukiweza kuwakwepa trafiki wasikumate mpaka tarehe 1 July uta save lakini kama hutaki usumbufu ni bora ulipe
Egesha gari lako mpaka baada ya tarehe 1 July.Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.
Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?
Unayo mwezi 1 wa kuendelea kutumia gari lako baada ya Road Licence kuisha muda wake, endelea kuendesha gari lako na Traffic hawatakiwi kukusumbua, wakikusumbua mpigie simu Afande Mpinga umfahamishe.Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.
Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?
Duh! Unamshauri alipe fee ambayo mwisho wake ni June hii!!! Kwanza Afande Mpinga alishasema Traffic kazi yao sio kukamata expired Road Licence kwani tayari fine utakutana nayo siku ya kulipa. Komaa tuu, kwani tax amnesty imeshatolewa na waziri wa fedha.