Moto wazuka Kituo cha Polisi Msimbazi, wadhibitiwa

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Wakuu kwa mjibu wa radio Cloud kituo cha polisi Msimbazi Dar kinawaka moto kwa mwenye taarifa zaidi.

=======
UPDATE:
Kituo cha polisi Msimbazi kipo salama moto ulizuka sehemu ya canteen na umedhibitiwa.

Chumba kimoja tu cha VIP ndicho kilishika moto.

IMG_2110.JPG

IMG_2109.JPG
 
Kituo cha polisi mtaa wa msimbazi kariakoo kina wakamoto chanzo ni Mashine ya Ac iliopo upande wa nyuma wa ilo jengo.Fire kma mpo humu fanyeni fasta kuokoa mali wa2 kule

Source:Cloudsfm,Informer
 
Wawahi kuwatoa mahabusu isije ikawa balaa kwa uhai wa watuhumiwa.
Mungu epusha.
 
Ooh..Mola anusuru nyumba za jirani zipone,wenye maduka jirani sijui wana hali gani huko majumbani kwao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kituo cha polisi mtaa wa msimbazi kariakoo kina wakamoto chanzo ni Mashine ya Ac iliopo upande wa nyuma wa ilo jengo.Fire kma mpo humu fanyeni fasta kuokoa mali wa2 kule

Source:Cloudsfm,Informer

Sijui kama kuna kituo cha Polisi kichafu kama hicho cha Msimbazi, bora kiungue kifanyiwe renovation ya nguvu ili angalau kionekane ni kituo cha maana
 
Wapi intelejensia ya Polisi? au hawakuliona mapema kwamba kituo kitaungu? kumbe intelejensia yao inafanyakazi kwenye maandamano ya upinzani?
 
Back
Top Bottom