Ama kweli Tanzania yetu bado ni giza tupu!
Lusambo!
Tunakutegemea kwa picha kwani ktk pilika hii gari yangu imegongwa na ile gari la fire nikiwa hapo.
Ntarudi after!!
Pole sana kamanda, huwezi amini vijana wamefanikiwa kuuzima na huku wakipiga piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzAma kweli Tanzania yetu bado ni giza tupu!
Lusambo!
Tunakutegemea kwa picha kwani ktk pilika hii gari yangu imegongwa na ile gari la fire nikiwa hapo.
Ntarudi after!!
Mara ya kwanza Fire zilikuja na maji machache zikashindwa kuuzima lakini wananchi kwa pamoja waliungana na kuuokoa msikiti uliokuwa karibu kuuanza kuungua.....sasa baada ya fire kushindwa kuzima na polisi kubaki wakishangaa wasijue la kufanya ndipo wananchi walipo shirikiana na kuuzima moto baada ya kuuzima gafla polisi wakaanza kuwasukuma wananchi ndipo wananchi wakaanza kuimba peoples Power wakiwa na maana umezimwa kwa nguvu ya umma.....wakaanda mbali kabia baada ya kuwaambia wakalete yale magari yao ya maji ya kuwasha ili yatumike kuzima moto
Pole sana mkuu net ndiyo inaleta longolongo lakini mtukio yote yamehifadhiwa tayari kupostiwa tu mkuu.
Mara ya kwanza Fire zilikuja na maji machache zikashindwa kuuzima lakini wananchi kwa pamoja waliungana na kuuokoa msikiti uliokuwa karibu kuuanza kuungua.....sasa baada ya fire kushindwa kuzima na polisi kubaki wakishangaa wasijue la kufanya ndipo wananchi walipo shirikiana na kuuzima moto baada ya kuuzima gafla polisi wakaanza kuwasukuma wananchi ndipo wananchi wakaanza kuimba peoples Power wakiwa na maana umezimwa kwa nguvu ya umma.....wakaanda mbali kabia baada ya kuwaambia wakalete yale magari yao ya maji ya kuwasha ili yatumike kuzima moto
Pole sana kamanda, huwezi amini vijana wamefanikiwa kuuzima na huku wakipiga piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzz
Arifu ni aje arachuga kunaendelea mnama?jombaa mliopo huko wekeni masnepu basi.
Mkuu leo sikuwa na kamera lakini nimetumia kimchina changu picha hizo hap juuNashukuru sana Kiongozi!
Yani huyo driver wa lile gari aina ya Benz hakuwa na subira kbs na hata hivyo kuokoa hajaokoa lolote zaidi ya misifa tu na akaniharibia ile kimotokaa changu ambayo unaijua mwenye Kiongozi. Na kw muda huu nipo huku garage Kiongozi wangu!
Dondosha picha ya mtukio Kiongozi wangu!
Wewe tusometu kila kitu kiko sawa hapa ndiyo Arachuga...Arifu ni aje arachuga kunaendelea mnama?jombaa mliopo huko wekeni masnepu basi.
Mkuu leo sikuwa na kamera lakini nimetumia kimchina changu picha hizo hap juu
kwanini mkuu mbona ziko fresh tu....Kiongozi! Mbona hazifunguki?
kwanini mkuu mbona ziko fresh tu....
Haya mkuu jionee mwenyewe ingawaje ulikuwepo eneo la tukio.