Moto waendelea kuunguza Bonde la Maji la Mzakwe jijini Dodoma

nakumbuka milima ya usambara kuna kipindi warina asali huwasha moto na kupuuzia kuuzima mara wamalizapo uvunaji wa asali.

hata maeneo ya mlima kilimanjaro enzi hizo tunasoma tulikuwa tunaona mioto mingiii. Ila now days naona TANAPA wamemudu elimisha jamii
 
Hata ile miti iliyopandwa na Mheshimiwa Rais mama Suluhu Hasan naona imeteketea na sasa moto huo unanyemelea mashine za kufua maji kwenye bonde hilo.
Tunataka kurudi DSM na tudhibitishe uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi ( purely jokes).
===
Jitihada zifanyike kuzima moto huo ( I am really serious!)
 
Kuna moto unaendelea kuwaka eneo la bonde la Mzakwe lililopo jijini Dodoma ambapo bonde hilo ni chanzo kikuu Cha maji Safi jijini Dodoma.

Jambo la kushangaza hakuna jitihada zozote za kuuzima moto huo licha ya hilo bonde kuzungukwa na taasisi nyeti za Serikali.

Hata ile miti iliyopandwa na Mheshimiwa Rais mama Suluhu Hasan naona imeteketea na sasa moto huo unanyemelea mashine za kufua maji kwenye bonde hilo.

Mamlaka husika chukueni hatua za kuuzima haraka sana huo moto kabla haujaendelea kuenea na kuleta madhara zaidi.
Bila picha mkuu tutatoaje msaada
 
Back
Top Bottom