Moto wachoma Ofisi za Jambo Freight

Moto wachoma Ofisi za Jambo Freight

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950
Moto unaendelea kuwaka sasa katika ofisi za Jumbo Freight zilizopo Barabara ya Nyerere DSM

Hiyo ni hapa karibu na Vingunguti eneo la mchicha / karakana kuna kiwanda hiki kinachotengeneza viti, madishi , ya plastic yenye nembo ya "Jambo". Kiwanda kwa kwe;li kina teketea kwa haraka sana si unajua na malighafi zilizopo ndani yake ni za plastic . Ofisi za faya hapa mchicha ni mwendo wa dk 5 tu kwa miguu.

WP_20150526_09_22_44_Pro.jpg
 
Moto unaendelea kuwaka sasa katika ofisi za Jambo Freight zilizopo Barabara ya Nyerere DSM

Hiyo ni hapa karibu na Vingunguti eneo la mchicha / karakana kuna kiwanda hiki kinachotengeneza viti, madishi , ya plastic yenye nembo ya "Jambo". Kiwanda kwa kwe;li kina teketea kwa haraka sana si unajua na malighafi zilizopo ndani yake ni za plastic . Ofisi za faya hapa mchicha ni mwendo wa dk 5 tu kwa miguu
images
images
images
main_07.jpg

.
attachment.php
 
Ni Jumbo Freight nimepita hapo sawa hivi sio Vingunguti Ni Nyerere Road.
 
Maeneo ya Pugu/Nyerere Road kiwanda kinachotumika kutengeneza Yebo Yebo kunaonekana kufuka moshi kwa kiasi kikubwa sana sana.

ImageUploadedByJamiiForums1432624953.817923.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432624986.303210.jpg


Polisi wamefika ili kuangalia hali ya usalama huku gari za zima moto zikiendelea na kazi yake,imeongezwa nguvu gari ya zima moto toka Airport ili kuukabili moto kwa haraka.

ImageUploadedByJamiiForums1432625020.106436.jpg ImageUploadedByJamiiForums1432625047.024202.jpg
 
Cc: @Moderators
Huu moto nilioweka mimi sio wa Jumbo Plastic...hii ni kiwanda cha Yebo Yebo Opposite na Quality Plaza hapa Pugu Road.Na hizo picha ni hapo kiwanda cha YeboYebo
 
Back
Top Bottom