Hakuna mahala nimesema ndoa ni mbaya na hakuna mahala mtoa post ameandika ndoa ni mbaya, ni kiranga chako tu na ugumu wa fuvu lako, watu wengi wanasema ndoa zimepoteza taswira yake kwasababu ya tamaa za mwili na pesa, wengine wanasema ndoa ni mbaya pengine kwa kutomaanisha ulivyomaanisha wewe, Ndoa ni neno na uwajibikaji halisi wa maana ya neno ndoa ndo msingi wa hoja yenyewe.
Sijui huelewi wapi, ndo shida ya kuwa mpagani, ukilaani ndoa haimaanishi unalaani neno, ila unalaani upotovu wa maana halisi ya neno, nikisema 90% haikuwa hivyo mwanzo, pengine ilikuwa 2% zama za akina plato na labda pengine siyo 90% tena kwa zama hizi, pengine ni 96% kwa hiyo ni gradually falldown.
Wakati sahihi ukifika utaelewa tu mkuu, mdogomdogo ndo mwendo.