Moto wa CHADEMA balaa

Moto wa CHADEMA balaa

Joined
Sep 18, 2014
Posts
89
Reaction score
23
Unajua kuna vitu vingine vinatisha sana mjini hapa,ma ccm yalikuwa yanazungumza meengi kuhusu kuitwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa tena yakijidai kwamba watu hawatafurika makao makuu ya jeshi la polisi yakitaka kuwaaminisha watu kwamba CHADEMA imepoteza mvuto,KILICHOTOKEA?,aibu kwao makamanda daima mbele polisi wadogo wanafanya kwa maagizo ya wakubwa wao coz nao wanakula kwa mgongo wa magamba,hakuna atayetawala milele IS OUR TURN NOW...VIVA CHADEMA,CUF,NCCR MAGEUZI,magamba tuonane 2015...
 
Maccm yamechokoza ugomvi harafu yanakimbia polisiccm, hawa wepesi kama nyenyere. Na huu umoja uloanzishwa utaleta ukombozi timilifu.
 
palipo na ushindani ufanisi ni wa hali ya juu!, mimi napenda sana political parties viwe na ushindani, sio chama kimoja kushika hatamu milele! chadema, cuf na nccr kazeni but ili mpambane sawasawa!
 
take five
 
MUANZE NA CDM MBOE ANATAKA KUTAWALA MILELE.MUJITAMBUE DJ atawapeleka kubaya.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindikiza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.
 
CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
Unajua kuna vitu vingine vinatisha sana mjini hapa,ma ccm yalikuwa yanazungumza meengi kuhusu kuitwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa tena yakijidai kwamba watu hawatafurika makao makuu ya jeshi la polisi yakitaka kuwaaminisha watu kwamba CHADEMA imepoteza mvuto,KILICHOTOKEA?,aibu kwao makamanda daima mbele polisi wadogo wanafanya kwa maagizo ya wakubwa wao coz nao wanakula kwa mgongo wa magamba,hakuna atayetawala milele IS OUR TURN NOW...VIVA CHADEMA,CUF,NCCR MAGEUZI,magamba tuonane 2015...

jana mateja na mashoga walikuwa wakimsindikiza mcheza shoo wa bills
 
nimeona leo kwenye tv askari wa kike akitoa amri ya kuwatawanya wafuasi wa chadema, nimemsoma kisaikology, kwa matamshi yake na body language, askari wadogo jana hawakuwa tayari kuwapiga, wananchi na waandishi wa habari ila ilikuwa ni amri ya shinikizo bila sababu kutoka kwa wakuu wao.
nadhani kuna kitu nahisi hakiko vizuri jeshi la polisi, ipo siku polisi watagoma kutekeleza amri za kijinga za wakuu wao, kwani yule askari alikuwa kama vile analalamika kuwa wao wameshinikizwa t0u. si katika utaratibu wao wa kawaida wa kiusalama, kwani wanajua hakuna madhara yoyote kwa wananchi kumsindikiza kiongozi wao kwa amani
Unajua kuna vitu vingine vinatisha sana mjini hapa,ma ccm yalikuwa yanazungumza meengi kuhusu kuitwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa tena yakijidai kwamba watu hawatafurika makao makuu ya jeshi la polisi yakitaka kuwaaminisha watu kwamba CHADEMA imepoteza mvuto,KILICHOTOKEA?,aibu kwao makamanda daima mbele polisi wadogo wanafanya kwa maagizo ya wakubwa wao coz nao wanakula kwa mgongo wa magamba,hakuna atayetawala milele IS OUR TURN NOW...VIVA CHADEMA,CUF,NCCR MAGEUZI,magamba tuonane 2015...
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindikiza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.

Siku wenye magari watakapogoma kusombelea watu kwenda kwenye mikutano ya Chama cha Mafisi (CCM); siku mafisi watakapo chachamaa kuona ufisadi wa fedha za chama chao zinavyoliwa katika mfumo wa kuwalipia mafuta bodaboda 30 lakini kwenye vitabu ikaandikwa bodaboda 150.; subiri siku na saa ambayo mafisi watakapo gundua kwamba malori na matrekta yaliyokodiwa kuleta watu mkutanoni ni 11 lakini hesabu ya vitabuni inasomeka malori na matrekta 55. SIKU HIYO CCM MTAUWANA, Maana mtagundua mlitumia hela nyingi kukodi usafiri na kulipa hadhira fedha nyingi hatimaye chama kinafilisika.
 
nimeona leo kwenye tv askari wa kike akitoa amri ya kuwatawanya wafuasi wa chadema, nimemsoma kisaikology, kwa matamshi yake na body language, askari wadogo jana hawakuwa tayari kuwapiga, wananchi na waandishi wa habari ila ilikuwa ni amri ya shinikizo bila sababu kutoka kwa wakuu wao.
nadhani kuna kitu nahisi hakiko vizuri jeshi la polisi, ipo siku polisi watagoma kutekeleza amri za kijinga za wakuu wao, kwani yule askari alikuwa kama vile analalamika kuwa wao wameshinikizwa t0u. si katika utaratibu wao wa kawaida wa kiusalama, kwani wanajua hakuna madhara yoyote kwa wananchi kumsindikiza kiongozi wao kwa amani

Yes hata mm nilimwona akisema ametumwa na wakubwa wake
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindik iza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.

We kuwasomba watu na mafuso na kuwalipa buk buk unadhan mchezo, lazma wafurke tu na wakat pilau nalo linakuwepo. Lakn kumbuka CHADEMA wanakuja wenyewe kwa wing huku wakijua fika watapgwa virung na mapoliccm, haya heb toa tadhmin upya wap huwa na nyom la maana kwa kuzngatia vigezo hvo.
 
CDM imejaa vichaa. Ninasema uwezo wao kufikiri ni mdogo sana. Hivi hawawezi kufanya siasa bila fujo?
 
Back
Top Bottom