Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
- Thread starter
-
- #81
CCM haijawahi kuwa na makubaliano ya kuungana na reject za chadema.YALIFIKIWA MAKUBALIANO KWAMBA LUMUMBA na ACT - KASULU WASHIRIKIANE ILI KUMG'OA ADUI CDM , MBONA MNAVUNJA MAKUBALIANO ?
Lile gheto la MM analowakazia watoto wa UDSM ndio ofisi yenu?
We jidanganye tu. wenzako CHADEMA walijifanya kufurukuta lakini wamechemshaACT ni Chama chenye wachezaji imara wenye kuleta ubingwa na kupoteza vyama vilivyokuwa vinashikilia ubingwa kwa siku nyingi.
Kama kina mwelekeo huo basi hakina tofauti na CHADEMA
ACT ni SACCOS ya ZITTO na CHADEMA ni SACCOS ya Mbowe na Dr SlaaAt Kwani CHADEMA nayo ni mali ya Zitto kama ACT?.
Wadau, kwa siku kadhaa kumekuwa na vuguvugu la chama kipya cha ACT kujiimarisha kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora.
Katika vuguvugu hilo, tumeshuhudia mada kadhaa zikianzishwa humu JF kwa lengo la kunakshi harakati hizo. Binafsi nilidhani kuwa huo ndo mwanzo wa mabadiliko ndani ya siasa za upinzani nchini na nilitegemea kuwa harakati hizo zitaendelea kwenye mikoa mingine.
Hata hivyo, mpaka sasa hali imepoa na hakuna dalili kuwa harakati hizo zitaendelea tena. Hali hii imenishtua na najiuliza, je ni kweli ACT ni chama makini cha Upinzani au ni mchezo wa kuigiza kama wafanyavyo CHADEMA?
una maanisha lile la sinza ?
Unajua sisi kama ACT-Tanzania chama makini kabisa cha kupambana na CDM tumejipanga ukanda wa Kigoma, Rukwa, Katavi, Tabora n.k ili tujidadavue kwamba sisi ni wa ukanda huu halafu CCM wataanza kutugeuka kwamba sisi ACT ni chama cha Magharibi a.k.a cha cha Waha na kuipakazia CDM ni chama cha kaskazini a.k.a Chagadema.
Ktk kujinadai baadae watawaambia wananchi mmeona vyama vinavyowagawa watz, CDM kaskazini, ACT magharibi, CUF Mashariki(pwani) lkn CCM ni nchi nzima.
Kwahiyo CCM watakuja na usemi huo kwamba vyama vya upinzani vinawagawa wananchi,
Malizia mwenyewe . . .
ACT chama makini cha kupambana na Chadema kwa hisani tuliyopewa na serikali ya CCM
Hahahahahaaaaa! Unadhani kama moto wa kupikia maharage au kuchomea mahindi?Sikumbuki kama ACT-Tanzania ilishawahi kuwasha moto mahali.Labda mleta mada atukumbushe vizuri.
CCM hatuna watoto mataahira kama hawa wa ACT. Wote ni uzao wa CHADEMAKwa hiyo magamba leo mnakula mtoto wenu,wa kumzaa mwenyewe? ACT ni ccm tuu hata mzuge!
Mwl. Kaijage, hakika umekosa adabu! unawezaje kumtukana mfadhiri wenu? Zito na Mwigamba wakikusoma hapa kibarua huna!Reject ni ccm na chadema...sio ACT ndio mana mnahangaika km mtetea anayetaka kutaga kuichafua.
Weston Songoro, wacha kujitoa ufahamu kenge wewe, ACT ilianzishwa kwa ushawishi na mtaji wa CCM. Kwa muda mrefu sana wewe na mapepo wenzako wa Lumumba mumekuwa mkiwashadidia kwa nguvu zoe ACT hapa JF, vipi leo unawageuka na kuwasimanga?Kwa vile chama mama (CHADEMA) kimekufa, ACT nao wanafuata nyayo hizo hizo
Weston Songoro, wacha kujitoa ufahamu kenge wewe, ACT ilianzishwa kwa ushawishi na mtaji wa CCM. Kwa muda mrefu sana wewe na mapepo wenzako wa Lumumba mumekuwa mkiwashadidia kwa nguvu zoe ACT hapa JF, vipi leo unawageuka na kuwasimanga?
Haya ndiyo mahusiano kati ya CCM na ACT
Pumbambavu zako umekaa kimajungu tu bado kupewa mtandio cdm kinaumakini gani kinaongozwa na mtu ambeya hawezi hata kuswalisha macho kumchuzi
Mtaishiya hivyo hivyo
Sasa tumebaki na kazi 1 tu
Kuwavuwa magamba
Kuwavuwa magwanda
Kuwavalisha uzalendo tu