Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
- Thread starter
-
- #41
Ni michezo ya kuigiza tu hiyo Mkuu. ACT ni moto wa mgomba. Haufai hata kwa kuivisha maharageUna hasira na ACT kwa kuwa tawi lenu ccm pale kigoma liligeuka ghafla na kuwa la ACT? Na bado povu litawatoka sana,tena maccm ndio maiti kabisa huku afadhali hata hao wahafidhina
Utajibeba wewe na ACT yako hiyo. Nyie igizeni tu. CCM inatapeta kiulaini 2015ACT mwendo mdundo, mtajibeba, na bado
Pole sana...unakesha jf kuchafua ACT utaua familia kwa njaa. ACT inawatetea hadi bibi zako huko kijijini waliopigika na maisha kwa ufisadi wa ccmNi michezo ya kuigiza tu hiyo Mkuu. ACT ni moto wa mgomba. Haufai hata kwa kuivisha maharage
Yaani hawa hawa ACT ambao hata ofisi hawana ndo wachukue nchi?CCM na CHADEMA waogopa makali ya chama cha ACT-TANZANIA.
Katika kuelekea Chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu-2015,vyama vya CCM na Chadema kila kukicha wapo busy kuizungumzia ACT,Chama ambacho kimeungwa mkono na Watanzania wote hasa kwa sera ya Taifa Kwanza,Chama ambacho kinajikita kuyajali maslahi ya Watanzania wote na kwa muda wote. CCM na CHADEMA sasa wanajipanga kufufua vyama vyao ambavyo vimepoteza muelekeo kwa Watanzania. Sasa ili vyama hivi vifufuke tena ni kuwa busy na mapambano dhidi ya ACT, Kwani ACT ndio jawabu la Watanzania Leo na Kesho.
Ccm aliondoka nayo nyerere, hii ya sasa ni wezi wa mali ya umma,hamna jipya. Watz wamepigika kwa sababu ya ufisadi wenuUtajibeba wewe na ACT yako hiyo. Nyie igizeni tu. CCM inatapeta kiulaini 2015
Kwani bibi zangu wanakufa njaaa. Labda wewe huko KasuluPole sana...unakesha jf kuchafua ACT utaua familia kwa njaa. ACT inawatetea hadi bibi zako huko kijijini waliopigika na maisha kwa ufisadi wa ccm
Kinachochukua nchi ni ACT sio ofisiYaani hawa hawa ACT ambao hata ofisi hawana ndo wachukue nchi?
CCM ipo na itaendelea kuwepo. Kwani kuna tofauti gani kati ya CCM ya sasa na ya wakati wa Nyerere. Kikubwa ni kwamba CCM inazidi kutawalaCcm aliondoka nayo nyerere, hii ya sasa ni wezi wa mali ya umma,hamna jipya. Watz wamepigika kwa sababu ya ufisadi wenu
Hahahahahaaaaaaa! Huko ni kujidanganya. Nyie ni reject tu ya hawa wahafidhina waliochoka kisiasa.Kinachochukua nchi ni ACT sio ofisi
Kasulu hatuna njaa kama nyie misukule ya ccm. Tunalima mazao yote unayoyajua japa nchini. Ila ccm ndio wanatutia umaskini kwa ufisadi. Hadi leo barabara hakuna, elimu duni,hospitali hakuna madawa wakati tunalipa kodi. Laana nyieKwani bibi zangu wanakufa njaaa. Labda wewe huko Kasulu
Inatawala wajingaCCM ipo na itaendelea kuwepo. Kwani kuna tofauti gani kati ya CCM ya sasa na ya wakati wa Nyerere. Kikubwa ni kwamba CCM inazidi kutawala
Akili ya bata hii. Makao makuu ya ACT yapo ubungo. Hayapo machame wala tengeru...ukiona chama kinaanzishwa na makao makuu yanakuwa mahali alipozaliwa mkuu wao ujue hapo kunatatizo kubwa sana...
Akili ya bata hii. Makao makuu ya ACT yapo ubungo. Hayapo machame wala tengeru
Reject ni ccm na chadema...sio ACT ndio mana mnahangaika km mtetea anayetaka kutaga kuichafua.Hahahahahaaaaaaa! Huko ni kujidanganya. Nyie ni reject tu ya hawa wahafidhina waliochoka kisiasa.
Umetisha mkuuNi michezo ya kuigiza tu hiyo Mkuu. ACT ni moto wa mgomba. Haufai hata kwa kuivisha maharage
Njaa mbaya sana. Huyu Mwl. Kaijage kaacha kazi ya ualimu anakimbilia siasa
Akili imekuishia unaanza kushambulia personality. Hata nyerere aliacha ualimu akaenda kwenye siasa.mimi nafuata nyayo A nyerere.Njaa mbaya sana. Huyu Mwl. Kaijage kaacha kazi ya ualimu anakimbilia siasa